Hawa ni watu wa kuwatenganisja kichwa na kiwiliwili dip wa kuwapa muda wa kusimama majukuani Samia no mpole sana atupe kazi tumpunguzie matusi kwa kuficha vichwa hivi
Malikia wa wapigaji mnamuhofia nini wakati hajielewi anawazungusha hata viongozi wakuu wa usalama wa taifa
Tunamuhitaji huyo ili tuzipate nyeti za yaliyopita tuwapigie misumari kuanzia sasa mpaka 2025
Samia hata kuwa na legacy yoyote hasa kutambulika na waliosoma bali hao machawa anaowateua kumuhamasishia,,, Miradi yote ya kimkakati kama Reli, Maji, Umeme, Madarasa, Mahospitali, Mabarabara na madaraja vyote vilikuwa ni mipango ya JPM ila Samia atakuwa kama mwanafunzi aliyepasi mitihani kwa...
Na kwa mara ya kwanza leo Samia kamtaja JPM lakini kwa nusu sekunde na wapambe wake wote January na Maharage wamejitahidi sana kutoa maelezo yao ya karibu kurasa 20 bila kuwataja Kambarage na JPM. wana taabu na hata wamejaribu kumpandikiza Kikwete eti alijaribu kutaka kujenga huo mradi na...
You are damn right Watanzania wako juu saana kulinganisha na nchi kama Kenya, Malawi au Zambia ila mleta mada haelewi kuwa kushinda upinzani ni udhaifu wa chama kilicho madarakani,, Nchi kama Kenya haiwezi kulinganishwa na Tanzania kwa lolote labda mfumo wao wa maisha wa kibabe na wizi wa wazi...
Mtu akikuambia ati kupanda kwa hali ya maisha ni kwa ajili ya vita ya Urusi na Ukraine mtemee mate usoni. Tz haikuwa inanunua nafaka toka Ukraine wala mafuta toka Urusi,, Kwani hizo tozo ambazo zimeota kila kona ya maisha ya watz ni kwa ajili ya vita?? Hapana ni kwa ajili ya kuwakandamiza...
Sawa mkuu ila wa kumlaumu ni Samia ambaye toka ameingia madarakani ametangaza vita na wananchi masikini akianzia na kuondoa ruzuku ya pembejeo February kabla JPM hajafariki March mfuko wa mbolea ulikuwa Tshs 56 miezi michache baada ya JPM kufariki ikawa Tshs l06k. Samia anayafanya haya kupitia...
Unatisha sana kama unaamini ati Urusi hupeleka askari wao waliokufa kwenye kitu meat grinder no way and it is only devious Africans who can such
You might be listening a lot from the western media outlets which are full if not wholly lies and propaganda
I'm talking from western European country...
Unafuatilia propaganda mbovu na huwajui wazungu,,, urusi angepoteza askari 3000 hiyo vita ingekuwa ishasitishwa kwa namna yoyote ile,,, Uhai wa mzungu una thamani kuliko binadamu wengine huo ndiyo ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.