Recent content by KALENDA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Njaa Haina Adabu

    Ni kweli anayoyafanya ni tofauti na kazi yake hata hivyo sidhani kama alikuwa anataka kula hilo tunda, hapo pembeni mkono wetu wa kulia kuna mtoto ambae nadhani ameomba asaidiwe kuangua hayo matunda.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kiafya za kujamba

    Napenda nikujulishe kuwa hizo filter tayari zimeishagunduliwa zinaitwa 'Fart filtering underwear'.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kiafya za kujamba

    Kuna tafiti nyingine zilisema kwa kawaida mtu hujamba mara nyingi kwa siku hata kufikia mara 20 bila kujijua au kutoa harufu mbaya. Kwa hiyo hizo mara 3 ni zile unazojamba wakati unajitambua. Wanasema kunauwezekano wa kujamba bila kujijua:- -Wakati tumbo linapounguruma -Wakati unapocheka -Wakati...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi na huku mabondeni,nifanye haraka nihamie kwangu tu!!!

    Huyo bibi ni mtaalamu, alianza kujenga huu msingi ndio akapata tenda ya kujenga hiyo nyumba.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Style mpya ya mwaka 2017

    Eti anakunywa kwa kutumia mrija !.
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mpiga picha maarufu, Mpoki Bukuku amefariki dunia

    Zamani ilikuwa inajulikana kama "ABC BAR" sasa imebadilishwa jina baada ya Anti-Stress kuhamia hapo ABC Bar.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hebu chunguza hii picha kwa makini

    Hilo group ni la wanawake, hao akina kaka wawili wanahusikaje na hilo group ?.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

    Gari likipaki katika uwanja wa ndege bado litabaki kuwa gari haliwezi kubadilishwa jina na kuitwa ndege !.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sasa huku jamani mapepo yatatoka?

    Amefanya muamala /Transaction pesa haijatoka sasa hajui chakufanya.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Live bila chenga

    Walikuwa wanasalimiana !.Tanzania si mchezo rushwa haitoisha kama msimamizi wa sheria ndio anafanya hivyo je raia wa kawaida atafanyaje?.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hayapo tena...!!!

    Barabara ikikamilika watatuletea "usanii" mwingine.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nawaombeni munipe jibu la hesabu yangu..............

    (7+7)/(7+7)x7-7 14/14x7-7 1x7-7 7-7 0
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kusoma haya maandishi na kuyaelewa nitajuwa wewe unayo akili nzurii

    Thank you !.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kusoma haya maandishi na kuyaelewa nitajuwa wewe unayo akili nzurii

    Figuratively speaking ? This message serves to prove how our minds can do amazing things ! Impessive things ! In the beginning it was hard but now,on this line your mind is reading it automatically without even thinking about it, be proud ! Only certain people can read this. Please forward if...
Back
Top Bottom