Hayapo tena...!!!

Hayapo tena...!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
368,271
Reaction score
851,896
1414639631909.jpg gharama zake zingeelekezwa kwenye mahitaji muhimu ya kijamii
 
Ka inchi hii kila aina ya vituko na vichekesho vya kukata na shoka
 
Nlipita pale juzi juzi nikakuta wameyang'oa sa sjui wanataka waweke ya mbao😕
 
Nlipita pale juzi juzi nikakuta wameyang'oa sa sjui wanataka waweke ya mbao😕

Pale pameshafanywa chaka la kupiga dili, manake pameshabadilishwa mitindo zaidi ya Mara nne kwa kipindi kisichozidi miaka mitano
 
Back
Top Bottom