Recent content by KALAMAZOO

  1. K

    C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

    Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
  2. K

    Wahaya kutoa tamko kuhusu kuonewa kielimu baada ya uhuru

    Hii ya kutoa max kwa upendeleo ilikuwepo enzi za mchonga meno.Japokuwa haikufanyakazi kwa Kagera tu wakati huo ikijulikana kama mkoa wa ziwa magahribi ila kwa kagera ndo walikuwa wanawekewa max za juu kuliko sehemu zingine. Kilichowasaidia wahaya enzi hizo ni kwamba wao walikuwa wamesoma zaidi...
  3. K

    In Defence of H.E Dr Jakaya Mrisho Kikwete

    Hakuna kizuri kisicho kasoro, sasa hivi Afrika Kusini vijana wanalaum masaibu yao mengi, ukosefu ajira, umaskin nk kwa mandela. Wanadai aliwatelekeza na kukumbatia matajiri wachache. Nyerere baadhi yenu mnaesema alikuwa na vision maskin ilikufa akiwa hai, yaani ujamaa na azimio la Arusha...
  4. K

    Mufti ataka Waislamu kuwekeza katika elimu zaidi

    we unaleta umbea.katoro islamic seminary mkoani kagera imekuwa shule ya6 kimkoa na 120 kitaifa.uonevu kwa sasa hakuna ulikuwepo enzi za nyerere
  5. K

    Ndoa ya Pili ni Ndoa bila kuvunja ya Kwanza?

    Ina maana ICC haikuyajua hayo? Ni kwa vipi taasisi competent kama hiyo inaweza kutoa hukumu kwa kitu kisichoeleweka vizuri? Hata hivyo ili kuondoa utata wote huo,niko mbioni kupata mfadhili amabe atabeba huo mzigo wa kulipa hilo deni.Hivyo wale wanao fanya Dowans kuwa ni mtaji wao wa kisiasa...
  6. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Sasa na wewe unataka kutupeleka kwenye kujadili mila anzisha basi thread inayohusu mila tuijadil. Elewa tu kwamaba hata hao wzungu na waarabu walikuwa na mila zao kabla kuja dini hizi.Miongoni mwa mila za waarabu kabla ya uislam ni pamoja na kuabudu masanamu,kuzika watoto wao wa kike wakiwa...
  7. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    We Amandla nakushauri usikurupuke.Fuatilia vizuri kwanza mjadala ndo uchangie. Nilikuwa najibu swali mwanajamvi aliyetaka nimtajie japo mifano miwili ya wazungu wanavyotuibia.Sasa ningekuwa mtovu wa nidhamu badala ya kujibu swali nianze kuelezea orodha ndefu ya wote wanaotubia. Ninaamini wapo...
  8. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Vuta subira kidogo ninamalizia kuscann document inayoonesha namna makanisa yalivyo na viwanja vya ndege maeneo yenye rasilimali zetu za taifa nchi nzima na huruka na madini na mali nyinginezo za taifa bila kukaguliwa hii ni tangia ukoloni,uhuru hadi leo.Hakuna Tra wala uhamiaji huko.Zamani...
  9. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    @fundo mchundo.una matatizo ya msingi.ishu nikwamba tuliwafukuza wakoloni wote wazungu na waarabu ili tujitawale.lakin wazungu waliendelea na wanaendelea kutuibia kwa mgongo wa kanisa hata wewe unajua lakin hutaki kukubali tu.
  10. K

    CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

    Usitutoe kwenye mada hapa hatumjadili Mkamba.Hata hivyo Makmaba hajatangaza kugombea Urais.Lakini mtu akigombea kwenda Ikulu anatakiwa asiwe na kashfa kama hizo.Hata maaskofu kwenye ilani yao walisema achaguliwe mcha Mungu japokuwa baadae walionekana kugeuza na kutaka achaguliwe Slaa eti...
  11. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Inaonekana umetoka usingizini.Hata kiswahili chenyewe kinakupiga chenga.Hizo hapo kwenye red ndo wadudu gani? Kwa taarifa yako ubunge hauhitaji shule ingekuwa hivyo Mbowe asingekuwa mbunge na form4 yake
  12. K

    CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

    Whom dou you mean is insulting his dignity,me or Slaa? He once caught in a guest house during Bunge session in Dodoma by his old wife who also was not his lega wife.Then now he is enjoying openly with someones wife.He has really insulted his dignity
  13. K

    CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

    Bora uniite mbumbavu kuliko kuitwa mzinzi.Hata mtume paulo aliwahi kujiita mpumbavu.
  14. K

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Si ndio maana hamumtaki kila siku humu jf mmeshupalia nchi imemshinda nchi imemshinda wakt huo mnashindwa kuelewa mko nyuma ya key boards amabazo hazikuwepo wakati wa utawala wa Nyerere.Haya ni maendeleo lakini hamyaoni. Hakuna anayesema kuwa anaonewa kinachozungumzwa ni kuitaka serikali...
Back
Top Bottom