haijalishi kazaa au hajazaa,bali huko ni kukosa haya na maadili,mwanamke kuonyesha matiti yake wazix2 ni kukaa uchi,mwili wa mwanamke wote ni uchi,ndio maana ni nadra sana kumuona mwanamke amechutama pahala mbele za watu akaanza kukojoa,lkn angalia wanaume,popote pale bila hata ya kujali kama...