Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Mke hataki papuchi yake ilambwe wala kula koni...japo mimi nashawishika kujaribisha...
Duh anasali kwa Kakobe?
Mke hataki papuchi yake ilambwe wala kula koni...japo mimi nashawishika kujaribisha...
Sijawahi kufanya mapenzi kwa style hizo,japo nashawishika sana kujaribu...
Shahidi ni mpiga chabo.Nimecheka mpaka basi! Nani shahidi???
sikushauri ufanye hivyo..kwani hamridhishani? kama hataki unataka kumlazimisha kwanini? ndo hapa ninaposema.vijiwe vinavunja ndoa za watu..mnasikiliza maneno ya wanywa kahaw huko ya kipuuzi then mnapeleka kwenye familia.kama wewe na mkeo hamjawahi hata siku moja na.mnapendan na.mnaridhika kwanini kuikaribisha tauni nyumbani kwako? nakushauri ndugu yangu USIJARIBU kufanya hivyo kwanza sio utamaduni wetu..na si lazima hivyo ni vionjo tu kwenye mapenzi na havina nafasi..ni sawa na maji, ukiyatia rangi ukiiondoa bado haiathiri maji yatabaki kuwa maji tu kwa taste yake..Madhara yapo unaweza kuingia mtandaoni na kuwauliza google effects za oral sex then utapata majibu..tena uelewe kuwa wanaume wa kiafrica ni wanaume shoka..tofautisha na wa ngozi nyeupe kwani. kwa mwafrica kigegedo kama wanavyokiita kinatangaza chama bila hata kuguswa na mwanamke tofautisha na white men ambapo.ndo walioanzisha hayo maoral se.x kwani wao mpaka.walambane lambane masaa ndo angalao hisia zinakuja..sas kama wewe kumuona mama tu tayari mama nae tepetepe mnalambana lambana nini tena? zaidi ya kuanza kulifurahia tendo ambalo Mungu amewajalia ambalo halipatikani kuzimu wala peponi!? tena kwa viungo tulivyoumbiwa? achana nao wa magharibi utakufa na makansa bure.mwishoni watakuja washauri huko vijiweni.mwambie mwanamke akuingize vidole uone utam wake hatimae utatamani vidole vikubwa na vikubwa mpaka.utaanza kuitwa ant somebody....be careful brother..usipende.kuchota kila neno sikiliza acha! chenye manufaa beba..ukisikia njia za.kuinua uchumi kwenye familia hapo nyanua pina.zako za masikio usikilize kwa makini ila mastory haya mengine yaache hapohapo...
sikushauri ufanye hivyo..usipende.kuchota kila neno sikiliza acha! chenye manufaa beba..ukisikia njia za.kuinua uchumi kwenye familia hapo nyanua pina.zako za masikio usikilize kwa makini ila mastory haya mengine yaache hapohapo...
Mkuu, mwenye masikio na asikie huu ujinga waafrika tunaoiga kisa wenzetu wameendelea kwa kila kitu. Kwa nini mtu afanye hivi. Nahisi hata ni DHAMBI.
Thanks a lot kwa ushauri,nimekuelewa vizuri sana.
Ubarikiwe.
Kuna madhara kidogo tu kwa Wanaume: kansa ya koo na kaswende ya mdomo.
kama wewe upo kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kujichimbia kaburi shauri lako..utaishia kusema wanapenda wanapenda mpaka koo linatoboka kwa cancer..
Habari zenu waungwana...natumaini mko poa.
Jamani niko kijiweni hapa na washikaji,umezuka mjadala mzito kuhusu mpango mzima wa kuzama chumvini na ulambaji koni...baadhi ya wadau wakijaribu kutushawishi wale ambao hatujawahi kutumia njia hizi.
Naomba kufahamu,je,kuna madhara gani kufanya mapenzi kwa njia hizi?
Haina madhara hata kidogo - inategeana na usafi wa mwenza wako... kama mchafu hapo ndo kasheshe ilipo. Kumbuka kila kitu kina faida na hasara.
Habari zenu waungwana...natumaini mko poa.
Jamani niko kijiweni hapa na washikaji,umezuka mjadala mzito kuhusu mpango mzima wa kuzama chumvini na ulambaji koni...baadhi ya wadau wakijaribu kutushawishi wale ambao hatujawahi kutumia njia hizi.
Naomba kufahamu,je,kuna madhara gani kufanya mapenzi kwa njia hizi?