IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,812
- 7,277
Wanabodi habari yenu?
Ninaomba kujua asili ya neno dem limetokea wapi na kwa nini lilianza kutumika kumaanisha msichana.
Je lilianza kama msimu?
Ninaomba kujua asili ya neno dem limetokea wapi na kwa nini lilianza kutumika kumaanisha msichana.
Je lilianza kama msimu?