mnh mie naogopa khasaaa, na sasa naona tafarani mkasa huu namie wataka kuntokea,
kuna mjimama flani anakaa jirani na nyumbba niliopangisha karibu na chuo , chuo kiomoja hapa kisiwani Unguja, huyo mmama anauza kiduka, wakati naenda kununua vitu vya kupika akajidai kanipenda na kuna mtoto wa...