MWANA WA NGURUMO
Nafurahia sana kupata mrejesho kutoka kwa wanufaika wa hii fursa ya Forex.
Naomba kukuuliza, katika trading zako
=>LOT SIZE ilikuwa constant@0.02 kwa muda wote?
=>How many trades were placed at once?
Natanguliza shukrani
Mimi simuamini hata kidogo. Inaonekana watu wakitaka kumshambulia mtu kwa kisasi lazima wapitie kwake, na yeye bila kuchuja na kujua upande wa pili ana publish hivyo hivyo.
Kwa ujumla ni Mmbeya kama wambeya wengine. Ni shambenga haswaa.
Shilawadu wananafuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.