Recent content by KAKSIGABA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

    Nahitaji baro moja Nipe Bei mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kutoka CWT. Je, Kuna chama gani kingine cha waalimu?

    Mimi sikutaka kabisa kujiunga na chama chochote na wala hatukujadiliana nao kuhusu hilo lakini kila Mwezi wananikata asilimia mbili ya Mshahara wangu! Nikimwendea mwajiri ananiambia trade union ni lazima inikate makato hayo kwa kuwa mimi nanufaika na kazi zinazofanywa na hiyo Trade union
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kutoka CWT. Je, Kuna chama gani kingine cha waalimu?

    Huwaga wanatuingiza kwenye makato bila Hiari yetu mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kutoka CWT. Je, Kuna chama gani kingine cha waalimu?

    Mkuu Naomba na vifungu vya sheria hasa ambayo hainibani mimi kujiunga na chama cha wafanyakazi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kutoka CWT. Je, Kuna chama gani kingine cha waalimu?

    Wakuu kwema? Nataka Kahama chama cha waalimu Tanzania (CWT) Je, Kuna vyama gani vingine mbadala tofauti na CWT? Kama Kuna mtu anavifahamu naomba anipe na mawasiliano ya Viongozi wa hivyo vyama.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Premier bet ichukuliwe hatua

    Tulishawahama ila lazima watulipe zetu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Premier bet ichukuliwe hatua

    Kampuni hii inakiuka utaratibu za Michezo ya kubashiri kwa kushindwa kuwalipa wateja wanaoshinda kwa wakati!!! Nimesharipoti Mara kwa Mara kwa bodi ya Michezo ya kubashiri na kubahatisha. Lipeni wateja lasivyo IPO siku tutafikishana pabaya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tv

    ni zec mkuu!!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tv

  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tv

    nashukuru mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tv

    mkuu nifanyeje ili kulitatua tatizo hili!!! thanks in advanve
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tv

    wadau TV yangu ya flat screen inatatizo la kujizima na kujiwasha!!! tatizo hili linasababishwa na nini? na ni nini suluhisho lake?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

    Naomba msaada google wananiambia wameshanitumia verification code ya adsensekwenye anwani yangu lakini Mimi sijaipata na nimeshaiomba upya Mara mbili!!! je tatizo mini? na nitaitatuaje?
  14. K

  15. K

    JamiiForums Tanzania kazi

    nipe namba zako au nitafute kwa namba zangu ambazo ni 0624266680
Back
Top Bottom