mkuu nifanyeje ili kulitatua tatizo hili!!! thanks in advanveHili kwa lugha ya kitaalamu huitwa "Sinticts hutokea pale Uwezo wa Tv kuwa mdogo kwenye Ku-convert umeme ndani ya Tv"
JF Thread zinazidi.
Ungeongezea nyama kidogo, kinachosababisha Sinticts kwenye TV mara nyingi ni Turbines za capasta zinapopata switch socket yenye kilowatt kidogo na joto la kati.Hili kwa lugha ya kitaalamu huitwa "Sinticts hutokea pale Uwezo wa Tv kuwa mdogo kwenye Ku-convert umeme ndani ya Tv"
JF Thread zinazidi.
Tafuta fundi akuchekie power saply au upande wa kadi huenda kuna shidawadau TV yangu ya flat screen inatatizo la kujizima na kujiwasha!!! tatizo hili linasababishwa na nini? na ni nini suluhisho lake?
Kadi nayo huchangia mkuu maana hizi flat screen zinakufa sana kadi bora yale machogo mara miaHili kwa lugha ya kitaalamu huitwa "Sinticts hutokea pale Uwezo wa Tv kuwa mdogo kwenye Ku-convert umeme ndani ya Tv"
JF Thread zinazidi.
Mara tatu kwa siku huoni ni adhabu hiyo? Hivi hamnaga h.d.m.i pin kwa euro? Maana hua naonaga euro kwa euroUngeongezea nyama kidogo, kinachosababisha Sinticts kwenye TV mara nyingi ni Turbines za capasta zinapopata switch socket yenye kilowatt kidogo na joto la kati.
Ili kuondoa tatizo hili kwenye TV (hasa hasa flat) tumia HDIM cable kwenye extension ya umeme ili kuongoza mwanga wa LED (labda kama TV yako ni LCD tumia AV cable) Mara tatu kwa siku.
[HASHTAG]#Tupunguze[/HASHTAG] nyuzi JF
Ungeongezea nyama kidogo, kinachosababisha Sinticts kwenye TV mara nyingi ni Turbines za capasta zinapopata switch socket yenye kilowatt kidogo na joto la kati.

nashukuru mkuuUngeongezea nyama kidogo, kinachosababisha Sinticts kwenye TV mara nyingi ni Turbines za capasta zinapopata switch socket yenye kilowatt kidogo na joto la kati.
Ili kuondoa tatizo hili kwenye TV (hasa hasa flat) tumia HDIM cable kwenye extension ya umeme ili kuongoza mwanga wa LED (labda kama TV yako ni LCD tumia AV cable) Mara tatu kwa siku.
[HASHTAG]#Tupunguze[/HASHTAG] nyuzi JF
Tafuta fundi akuchekie power saply au upande wa kadi huenda kuna shida
Vipi tv yako aina gani..
Kama ni l.g baba hiyo ni kadi ya kubadilisha .. ila tafuta fundi kwanza
Tafuta fundi akuchekie power saply au upande wa kadi huenda kuna shida
Vipi tv yako aina gani..
Kama ni l.g baba hiyo ni kadi ya kubadilisha .. ila tafuta fundi kwanza
Ukitaka msaada kama huo, taja aina ya tv na model yake..wadau TV yangu ya flat screen inatatizo la kujizima na kujiwasha!!! tatizo hili linasababishwa na nini? na ni nini suluhisho lake?
TV yangu aina ya Sharp LE830 imegoma kuwaka ina blink tu chini ya neno "Sharp". Nahitaji fundi. Ni ya muda.Ukitaka msaada kama huo, taja aina ya tv na model yake..