Recent content by kakoyo092

  1. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

    Kwamba magari hayabadilishwi rangi hahahhaha
  2. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Mkuu embu tupe takwimu za kipindi cha miaka mitatu za vifo vya wa mama wajawazito kwa hospitali ya bugando Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  3. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
  4. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Kijana ume update academic qualifications! Maana wamefanya mabadiliko hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kakoyo092

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iringa vijijini mnazingua

    ukumbeke ndom tu
  6. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo akitoka ndani ya ofisi yake mpya mkoani Dodoma baada ya kazi

    Stupidity Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya 44,807 Serikalini zaja 2019/2020, Watumishi 290,625 watapandishwa vyeo, Mishahara mipya kitendawili, Uhakiki kuendelea.

    Izi porojo tumezichoka tunataka kuona vitendo sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Kuhusu post za TPA

    Unashangaa ilo wakati STATISTICIAN post 1 watu 688.. uki calculate odds za kupata iyo nafasi ni 0.00146, sali sana.
  9. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona MP wa jeshi mwenye cheo cha juu

    Tuanze hapa kwanza unajua maana ya MP...?
  10. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Ni miongoni mwa wanawake warembo wa Kisukuma na mheshimiwa Diwani mtarajiwa mkoani Shinyanga

    Ndugai anawatungia sheria wanaojichubua
  11. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka USAID-Tulonge Afya kusitisha mara moja urushwaji wa matangazo ya uzazi wa mpango

    Tusubiri na Tohara! Maana siku Ile aliwaambia kisukuma wanakubali kukatwa kwani wao ng'ombe
  12. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda atoa miezi michache mpaka Januari kila kampuni na taasisi iajiri walemavu

    Tuanze kuitathamini serikali inazaidi ya wafanyakazi 20 je iyo 3% wametekeleza
  13. kakoyo092

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kalipeni kodi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom