Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 772
- 1,172
Bado hawajatema
haaaaaaaa tulikokuwa shotlisted tujuane mapema haaaaa
haaaaaaaa tulikokuwa shotlisted tujuane mapema haaaaa
kuna hatari ya post moja ukakutana na watu miatatu
Haaaa January 5 ni vumbi tuhaaaaaaaa tulikokuwa shotlisted tujuane mapema haaaaa
kuna hatari ya post moja ukakutana na watu miatatu
Kwann umekata tamaa?Duh unachokisema n kwel mkuu POST 1 watu 300 mpaka nimekata tamaa....
haaaaaaaa tulikokuwa shotlisted tujuane mapema haaaaa
Unashangaa ilo wakati STATISTICIAN post 1 watu 688.. uki calculate odds za kupata iyo nafasi ni 0.00146, sali sana.Duh unachokisema n kwel mkuu POST 1 watu 300 mpaka nimekata tamaa....