Recent content by kakonge4

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu nnapoweza kujifunza kutumia bunduki

    Ukitaka silaha kuna fomu unajaza kisha maombi yako yanajadiliwa na kamati ya ulinzi na usalama kata,wilaya,mkoa kisha kwa DCI ndio tamati.Bunduki tayari umeilipia na risti zinaambatanishwa na maombi yako Kama sababu ulizotoa zakumiliki silaha zitakubalika,DCI atakupa kibali cha kumiliki silaha...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Huyo si mke wako ni mke wa jamaa aliemkopesha hela ndio maana anarudi SAA anayotaka "akili Ku mutwe" mkuu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Peace Kwizera : Mtoto wa Kinyarwanda mwenye mvuto wa hali ya juu

    Napenda kuwa tahadharisha na hao watoto wa kitusi kaeni kwa makini vinginevyo utajuta kujuana nae.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyimwa tendo la ndoa

    Imeelezwa kuwa nchini India katika mji mmoja jamaa kamuua mkewe kwa kumnyima tendo LA ndoa kwa muda mrefu.Wanawake hiyo ndio fimbo yao ya kutuadhibu sisi wanaume.Hali hii inawakuta wanaume wengi ila huona aibu kueleza kuwa usiku wa Jana kanyimwa.Hakuna njia ni kuwabembeleza tu kwani ni miliki...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa kuchokonoa masikio kwa kutumia pamba stick na vijiti yaliyonikuta mimi iwe funzo kwenu

    Maji yanaweza kuchanganyika na vitu vya nje kama vumbi nk kisha ikaingia ndani ya sikio aidha maji pekee yanaweza kuharibu ubora wa nta ya sikio Kama yataingia ndani isitoshe maji yanaweza kufanya nta itoke nje ikiwa yatakutana nayo Usiisumbue hiyo nta kwa namna yoyote
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa kuchokonoa masikio kwa kutumia pamba stick na vijiti yaliyonikuta mimi iwe funzo kwenu

    Kila baada ya kuoga kausha maji yote yaliyo maeneo jirani na sikio kwa ndani na nje kwa taulo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je Dr. Shika atakua ameingizwa mkenge staili ya wa Nigeria?

    Dalili za Dr huyu kutapeliwa zinaonekana wazi.Kwa sababu benki huwa inakata service charge kimya kimya iweje Leo washindwe kukuta Dola 100 za bima
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Online money transfer,!?utawagutusha wengi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Nimepata kusikia mabalozi wetu wakitoa majibu ya kukatisha tamaa kwa raia wetu wanapoenda kuomba Msaada. Sipendi kuandika hapa ila nashauri wawajulishe RAIA wote kuwa yeyote atakae kwama ughaibuni ajitegemee asitegemee Msaada wa ubalozi wetu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa hisabati naombeni jawabu

    6561
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Chuo hicho cha in service sio kwa pre service.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Hazina. za wajerumani zipo Namna ya kuzipata ndio issue. Rupia haina thamani Bali wachawi wanaamini ikifanyiwa madawa ya kichawi inaweza kuleta hela kiajabu.Cha ajabu kila rupia utakayoipata wahitaji wanatoa kasoro.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume mwenye sifa hizi anahitajika

    Asante
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume mwenye sifa hizi anahitajika

    Atakae mwoa huyu ajue ameoa mke wa MTU angojee kuumia roho kwenye mke akiwa anawasiliana na mkewe juu ya malezi ya mtoto wao
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu cha uchawi

    Kitabu hicho original bei yake tsh 50m,photocopy yake tsh 400000.Cjui kama hapa Tz kinapatikana.
Back
Top Bottom