Msaada sehemu nnapoweza kujifunza kutumia bunduki

Msaada sehemu nnapoweza kujifunza kutumia bunduki

Unataka kuvamia bank gani, maana vyuma vimekaza mpaka huko angalia usijeambulia patupu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
MIMI MWENYE NINA MPANGO KUMILIKI, ILA WAKININYIMA HAMNA SHDA, NASUBIRI 2019, NINA WASIWASI 2020 HALI YA UPEPO ITAKUWA 'ADVERSE'
 
Wakuu msaada tafadhari.

Nakaribia kuoa mtoto mkaree sana. Sasa nahitaji ulinzi binafsi. Kabla sijapata mguu wa kuku ningependa nipate mafunzo jinsi ya kuutumia.
Mimi bahati mbaya miaka yetu ule mpango wa kwenda jeshini haukuwepo.
sasa nauliza kwa dar kuna sehemu mtu unaweza jifunza kutumia bunduki mbali mbali zaidi ya depo!!?
Tuone picha ya huyo unemwita mkaree". pengine ni bundi, unataka kutusumbua bure
 
Sasa mzee. Huku masaki bwana kuna watu wanahela zao nyumba ulinzi wa kutosha mbwa, kk security na uwezekano wa kuwa na bunduki upoo kwa asilimia kubwa sana.

Ila sasa upande wa pili kuna kina manfongo wengi wanafaidi.
 
Nenda kambi yoyote ya kijeshi halafu tafuta mtu mwenye nyota tatu tu.. then mwambie "hads up" Halafu akiweka mikono juu mwambie akuitie kijana yyte akufundishe
 
Ukitaka silaha kuna fomu unajaza kisha maombi yako yanajadiliwa na kamati ya ulinzi na usalama kata,wilaya,mkoa kisha kwa DCI ndio tamati.Bunduki tayari umeilipia na risti zinaambatanishwa na maombi yako
Kama sababu ulizotoa zakumiliki silaha zitakubalika,DCI atakupa kibali cha kumiliki silaha kisha kabla hujapewa silaha yako utaenda ffu kufundishwa kuitumia nautapewa miiko
 
Asante sana mkuu. Na mimi nilikuwa nahitaji kumiliki bunduki maana huku kwetu kuingiliwa na majambazi ni kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom