Recent content by kakizibet mulokozi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kitenzi cha neno "mdahalo" kwa Kiswahili ni nini?

    Ttttttt
  2. K

    JamiiForums Tanzania kagasheki anakimaliza mwenyewe

    Inatia aibu mtu ambaye anajiita mwanadiplomasia anapoongea upotoa lugha za ajabu sambamba na wabeba mizigo bandarini, Kagasheki umaarifu wake sasa umefikia kikomo, huyu bwana baadhi ya watu wameanza kufuatilia kiwango chake cha elimu kwa kuwa wamebaini kuwa huyu bwana hana sifa za kuwaongoza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Balozi Kagasheki yaendelea kuwatesa wananchi, hivi tutafika?

    MANISPAA YA BUKOBA YAENDELEA KUWAKA MOTO Hii inafuatia hatua ya baadhi ya madiwani wanaoongozwa na waziri wa maliasili na utalii, Balozi Khamis Kagasheki wanaotaka kumg'oa madarakani mstahiki Meya wa manispaa ya Bukoba, Anatory Amani kwa manufaa yao binafsi ya kuandika barua ya kutokuwa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki aendelea kuwadidimiza wananchi

    MANISPAA YA BUKOBA YAENDELEA KUWAKA MOTO Hii inafuatia hatua ya baadhi ya madiwani wanaoongozwa na waziri wa maliasili na utalii, Balozi Khamis Kagasheki wanaotaka kumg'oa madarakani mstahiki Meya wa manispaa ya Bukoba, Anatory Amani kwa manufaa yao binafsi ya kuandika barua ya kutokuwa na imani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania wananchi jimbo la Bukoba kuweni makini na miradi inayobinuwa na Waziri Kagasheki

    Tunachokielewa moja ya majukumu ya mbunge katika jimbo lolote ni kubuni fursa za kuwawezesha wapiga kura waliomchagua, inatia aibu kubwa unapomuona mbunge badala ya kubuni fursa za kuwawezesha wapiga kura wake anabuni fursa za kuwanyonya na kuwadidimiza waliomchagua, kweli ndugu wadau wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki unawaibia wananchi badala ya kuwaendeleza

    Tunachokielewa moja ya majukumu ya mbunge katika jimbo lolote ni kubuni fursa za kuwawezesha wapiga kura waliomchagua, inatia aibu kubwa unapomuona mbunge badala ya kubuni fursa za kuwawezesha wapiga kura wake anabuni fursa za kuwanyonya na kuwadidimiza waliomchagua, kweli ndugu wadau wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania wananchi na viongozi kuweni makini na Balozi Kagasheki

    ndugu zangu Nshomile, mkiendelea kuwasikiliza na kuwakumbatia viongozi wanaokwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi kama Mbunge la Bukoba mjini Kagasheki mtaendelea kudidimia kila kunapokucha, kweli kwa nini msifumbuke macho? huyu bwana ni mmoja watu wanapenda kunyeyekewa, haiwezekani mtu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kagasheki msimamo yake haina nia njema na wananchi

Back
Top Bottom