Kagasheki msimamo yake haina nia njema na wananchi

Kagasheki msimamo yake haina nia njema na wananchi

Joined
Nov 26, 2013
Posts
9
Reaction score
0
ndugu zangu Nshomile, mkiendelea kuwasikiliza na kuwakumbatia viongozi wanaokwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi kama Mbunge la Bukoba mjini Kagasheki mtaendelea kudidimia kila kunapokucha, kweli kwa nini msifumbuke macho? huyu bwana ni mmoja watu wanapenda kunyeyekewa, haiwezekani mtu mmoja akawaletea maendeleo wananchi kwa kutumia fedha yake, maendeleo yanahitaji nguvu ya pamoja na mahusiano miongoni mwa viongozi, Kagasheki hawezi kuleta maendeleo kwa kila ana chuki binafsi na kila kila kiongozi kuanzia kwa mkuu wa Kagera, Massawe na viongozi wote wa CCM ngazi ya mkoa, sasa imefika wakati wa wananchi wa Bukoba kubadili msimamo yao kwa kuwachagua viongozi wenye mapenzi mema kwao badala ya viongozi wanapenda kujikweza kama Kagasheki.

hii ni aibu kwa Nshomile, Nshomile wenzaku mkitaka kupima imani ya mtu mwangalie kwanza kwa matendo yake, maneno yake na misimamo yake kwa wananchi, mnaomkumbatia Kagasheki mtakiona cha moto, yeye hana cha kupoteza ila nyie ndio mna cha kupoteza huyu bwana familia yake yote haiko hapa iko uswizi hiyo maendeleo yanapopatikana na yasipopatikana hana cha kupoteza, je wananchi mnachukua uamzi gani? nawasikitikia tuliko tunawasikitikia.
 
Hapa kuna HOJA....NSHOMILE Wakina DR RWAITAMA, Prof.MUKANDALA, DR. B.Bhana,prof. Tibaijuka, Dr.karugira,Dr.rwezaura, Prof BUJWAEISHAIJA, Mwl.KAMURALI, Dr. R.Matungwa,MULOKOZ,MUGISHA,MUSHAHILIZI,KOKUENDELEZA,Arch.Rwehumbiza.Padre KARUGENDO..bukoba wadau,rwamishenye,kashai,ijuganyondo,kahororo,buyekera,bunena,ihungo,muleba,kyaka,muhutwe,misenye,ngara.Karagwe,biharamulo,.....Njunwa,Dr.Amani,Chifu, Tabugani maramoja, mama KOKU,MUJULIZI,RUSHULA,RUTASHIBYA,SIIMA,KEMONDO....amka okoa bukoba..toa mawazo mshauri mbunge na waziri..awatumikie...
 
Niliwahi kununua kiwanja kwenye mradi wa halmashauri ya manispaa ya bukoba mwaka juzi, cha ajabu sikupata document yoyote ya ownership hadi mwezi oktoba mwaka huu. Baada ya kuhoji nikajibiwa kuwa waziri Kagasheki kaingilia na kuzuia mradi kisa umeandaliwa na halmashauri pasipo yeye kushirikishwa hivyo ni sabotage. Na hiyo sabotage inafanywa na Mayor wa manispaa ili baadae achukue ubunge wake.

Hivi personal issues ndio zirudishe nyuma maendeleo ya mji? Ubunge ni lazima uupate? Na je, ikibidi hata kwa kuchelewesha maendeleo? Nafikiri Kagasheki hakuzaliwa mbunge na akiukosa hatapatwa na mauti zaidi ya kuondokewa na kelele za wananchi wenye kuhitaji maendeleo.

Twaweza kusema hadi mapovu yatutoke na kuandika sana lakini wenye maamuzi ni wanabukoba ambao ndio wapiga kula
 
Back
Top Bottom