Kwa Tanzania leo hii hakuna chama kisicho na wanachama mafisadi! Si lazima nisema sana lakini kila mmoja wetu anajua namaanisha nini? Ufisadi wa mtu si wa chama ni wa mwanachama. mbona kuna wazazi wengi tu, watoto wao wazinzi, walevi kupindukia, machangudoa na vibaka, mzigo unakwendaje kwa baba...
Kubenea si mwana siasa. Ni mwana haraksti ambaye amebebwa na umaarufu wa chama. Jamaa uwezo wake ni mdogo sana. Sanasana anachoweza ni kutunga majungu na uzushi. Time will tell. Wana ubungo tayari wameshamchoka
Wakati kuna wanachama wenzako waliokuwa wanamlilia japo kwa siku moja tu akawe...
Nimesoma hoja ya kila aliyechangia kwa Pasco. Nimejifunza kitu kimoja kikubwa sana kwamba, watu walichokuwa wakifanya ni kutoa nyongo kulingana na chama anachokiamini na kile alichonacho moyoni. Lakini sijaona hoja au mchango kutoka kwa mtu aliyekuwepo ndani ya kile kikao. Maana tumeambiwa...
Safi sana! Hivi Mbowe na Lowassa sijawaona kwenda kumjulia hali Sumaye, Muhimbili!! Lakini kwa vyovyote vile watakuwa nje ya Dar, lazima wangekwenda. hHki ni kipindi cha kuzika uadui wa kampeni na kujenga nchi yetu chini ya Rais Magufuli 'JPM'
jana Krismasi, wateja walikwenda banki ya CRDB Tawi la Mlimani City wakiamini itafunguliwa saa 4 asubuhi na kufungwa saa 8 mchana kama tangazo lao mlangoni linavyosema siku za wikiendi na sikukuu. cha ajabu, mlinzi mmoja akapewa jukumu la kuwatangazia wateja kwamba hawatafungua tawi hilo mpaka...
ninavyojua mimi global huwezi kufika mapokezi kabla ya kukutana na mlinzi ambaye anaweza kukuruhusu baada ya mahojiano. mlangoni kuna tangazo la jitambulishe (kwa mlinzi) na kama ulifika mapokezi na hukuwa na mawasiliano na shigongo ya simu, basi hukuacha namba za simu, uliacha ujumbe tu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.