Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Haya mambo ya demokrasia na takataka nyingine yalikuwa hayapo, Raisi Kikwete kwa nia nzuri kabisa akatakakuifanya TanZania kama Marekani ambao kila takataka anasema anachotaka matokeo yake kwetu siyo mazuri kabisa, ona sasa hakuna jambo ambalo Serikali itafanya haijalishi lina umuhimu kwa kiasi matakataka yatapinga, leo hii watu wamevunja sheria za nchi wanaandamana na wanasikilizwa, huu ni upuuzi gani?
Nasema Raisi Kikwete najua ulikuwa na nzuri tu lkn ulishindwa kuelewa haya mambo hayafai kutumika kwenye masikini kama hizi zetu, na sasa hivi ni ngumu sana kwa serikali kuchukua maamuzi magumu na muhimu kwani kuna takataka ataanzisha maandamano kupinga bila ya sababu yoyote ile ya maana isipokuwa tu kwa kuwa uamuzi umetolea na serikali ya chama kisicho chake!