Nyumba ya Sumaye kupigwa Nyundo mpaka Chini!

Hyo hataa abomolewe pa kukaa hakosi,,,wananchi wa hali ya chini ndo wanaisoma namba!!! Nkajua ni nyuma anayoish now kama ndo anajenga ana shida gni ss?? Na kiinua mgongo cha uwazir mkuu bado anacho???
 
Mwandishi keshahitimisha kwamba nyumba inavunjwa lakini maelezo ndani ni tofauti kabisaa. Huu uandishi sio upashanaji habari, kibaya zaidi mleta mada kaona aibu ya kuleta jina la hilo gazeti.

Yani umeogopa kusema source ni gazeti la UHuru
 
WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuvamia eneo la wazi na kuanza kuzungushia uzio, bila kufuata sheria na utaratibu wa ujenzi.

Eneo hilo la kiwanja namba 719/1/3 lililopo Mkiocheni, mtaa wa TPDC, lilikuwa
likitumika kwa ajili ya michezo, mikutano ya kisiasa, pamoja na mikusanyiko mbalimbali ya kijamii.

Kufuatia tuhuma hizo, timu ya maofi sa ardhi inachunguza uhalali wa umiliki wake, hivyo wiki ijayo majengo yaliyojengwa kwenye eneo hilo yatavunjwa, endapo ikithibitika kufanya uvamizi huo.

Mbali na Sumaye, vigogo wengine wanaodaiwa wakuvamia kiwanja hicho ni aliyekuwa Katibu Mkuu Mstaafu Ofi si ya Rais, Philemon Luhanjo pamoja na Mbunge wa jimbo la Rungwe, Saul Amon, ambaye ni mfanyabiashara anayemiliki maduka ya S.H. Amon.

Awali kabla ya kuvamiwa kwa eneo hilo, ilielezwa kuwa iliyokuwa kampuni ya High Precision Technology Centre (HPTCMatsutisha), kulilinda lisivamiwe miaka ya 1970.

Hivyo mikusanyiko mbalimbali za kimichezo, pamoja na shughuli za kisiasa ilikuwa ikifanyika katika kiwanja hicho, ambako hata baada ya kampuni hiyo kufa, ililiendelea kutumika kwa shughuli za kijamii.

MAZITO YAIBUKA
Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kuwa, Sumaye anaendelea na ujenzi katika eneo hilo bila kuweka kibao chenye kuonyesha wakandarasi wanaohusika na ujenzi huo.

Lakini pia, licha baadhi ya nyaraka kudai kuwa kiongozi huyo mstaafu kulimiliki eneo hilo kuanzia mwaka 1998, hajawahi kulalamika kimaandishi kwenye uongozi wa mtaa kuhusu shughuli zilizokuwa zikiendelea kwenye eneo hilo.

Shughuli hizo ni pamoja na uongozi wa serikali ya mtaa kuweka kifusi, ili kusawazisha eneo hilo kuufanya uwanja utumike vizuri kwa ajili ya michezo.

Aidha wiki tatu zilizopita, Ofi sa Mtendaji wa Mtaa huo Mwanaidi Omary, aliongozana na mmoja ya maofi sa wa ardhi wa Manispaa ya Kinondoni hadi kwenye eneo hilo.

Ofi sa huyo wa ardhi alitoa notisi ya mdomo na sio ya maandishi ya kusitishwa ujenzi huo akidai mpaka mmiliki awasilishe nyaraka serikalini.

Licha ya ujenzi huo kufanyika bila kufuata taratibu za kisheria, ikiwemo kutokuwepo kwa kibao kinachoonyesha mkandarasi anayehusika na ujenzi, lakini ofi sa huyo hakuchukua hatua zozote za kisheria.

Katika kutaka kujua ukweli wa mzozo huo, gazeti hili lilifanikiwa kupata barua iliyoandikwa na serikali ya mtaa kwa Halamashauri hiyo kuhoji ujenzi huo. Barua hiyo yenye kumbukumbunamba MKT/SER/MT/ TPDC/05/2015, iliyoandikwa Desemba 11, mwaka huu na kupokelewa Desemba 14, bado haijatolewa ufafanuzi na mkurugenzi kama ilivyokuwa ikielekeza.

LUKUVI KUTUMBUA JIPU
Kufuatia malalamiko hayo ya wananchi, Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alisema serikali itavunja uzio na shughuli za ujenzi zinazoendelea kwenye eneo hilo itakapobaini ukweli, ifi kapo Jumatatu.

Katika kusisitiza hilo, Lukuvi alisema hatua hiyo itahusisha hadi vigogo wengine watakaobainika kuvamia eneo hilo.

Alisema baada ya serikali kupata taarifa, timu ya maofi sa ardhi itachunguza kwa kina eneo hilo ili kuthibitisha. Juzi gazeti hili lilishuhudia maofi sa hao wakiwa kwenye eneo hilo wakifanya uchunguzi.

Yaani kichwa cha habari ni tofauti na utumbo uliopo ndani
 
Mwandishi keshahitimisha kwamba nyumba inavunjwa lakini maelezo ndani ni tofauti kabisaa. Huu uandishi sio upashanaji habari, kibaya zaidi mleta mada kaona aibu ya kuleta jina la hilo gazeti.

Yani umeogopa kusema source ni gazeti la UHuru

Huo ndio mzao wa lumumba
 
Sheria zifuatwe siyo vinginevyo vunja haraka sana hiyo nyumba hapa kazi tu.
 
isee isije ikawa ni msukumo wa kuamia chadema

Wanapotumbuliwa viongozi serikalini wanasema CCM wanaisoma namba wenyewe, akiguswa wa CDM, majungu! Du! Wabongo bwana!
 
aisee isije ikawa ni msukumo wa kuamia chadema

Umekurupuka boss,kama vielelezo vya uhalali wake katika eneo hilo vipo ataonesha na itakuwa ndio salama yake,katika kadhia hiyo tumeliona pia jina la mzee Luhanjo au nae kahamia Chadema?
 
Isije kuwa haya ndiyo yanayosemwa ya kuongoza na kutawala kwa majungu! Wakitaka kuvunja kwa kufuata mipango miji iliyokuwepo Mbezi Beach nyumba nyingi zitakwenda na maji!
 
Kama alivamia kiwanja cha wazi basi apokonywee, ila isije ikawa vita ya kisiasaa
 
nayafahamu hayo maeneo vyema acha wabomolewe tu.
 
WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuvamia eneo la wazi na kuanza kuzungushia uzio, bila kufuata sheria na utaratibu wa ujenzi.

Eneo hilo la kiwanja namba 719/1/3 lililopo Mkiocheni, mtaa wa TPDC, lilikuwa
likitumika kwa ajili ya michezo, mikutano ya kisiasa, pamoja na mikusanyiko mbalimbali ya kijamii.

Kufuatia tuhuma hizo, timu ya maofi sa ardhi inachunguza uhalali wa umiliki wake, hivyo wiki ijayo majengo yaliyojengwa kwenye eneo hilo yatavunjwa, endapo ikithibitika kufanya uvamizi huo.

Mbali na Sumaye, vigogo wengine wanaodaiwa wakuvamia kiwanja hicho ni aliyekuwa Katibu Mkuu Mstaafu Ofi si ya Rais, Philemon Luhanjo pamoja na Mbunge wa jimbo la Rungwe, Saul Amon, ambaye ni mfanyabiashara anayemiliki maduka ya S.H. Amon.

Awali kabla ya kuvamiwa kwa eneo hilo, ilielezwa kuwa iliyokuwa kampuni ya High Precision Technology Centre (HPTCMatsutisha), kulilinda lisivamiwe miaka ya 1970.

Hivyo mikusanyiko mbalimbali za kimichezo, pamoja na shughuli za kisiasa ilikuwa ikifanyika katika kiwanja hicho, ambako hata baada ya kampuni hiyo kufa, ililiendelea kutumika kwa shughuli za kijamii.

MAZITO YAIBUKA
Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kuwa, Sumaye anaendelea na ujenzi katika eneo hilo bila kuweka kibao chenye kuonyesha wakandarasi wanaohusika na ujenzi huo.

Lakini pia, licha baadhi ya nyaraka kudai kuwa kiongozi huyo mstaafu kulimiliki eneo hilo kuanzia mwaka 1998, hajawahi kulalamika kimaandishi kwenye uongozi wa mtaa kuhusu shughuli zilizokuwa zikiendelea kwenye eneo hilo.

Shughuli hizo ni pamoja na uongozi wa serikali ya mtaa kuweka kifusi, ili kusawazisha eneo hilo kuufanya uwanja utumike vizuri kwa ajili ya michezo.

Aidha wiki tatu zilizopita, Ofi sa Mtendaji wa Mtaa huo Mwanaidi Omary, aliongozana na mmoja ya maofi sa wa ardhi wa Manispaa ya Kinondoni hadi kwenye eneo hilo.

Ofi sa huyo wa ardhi alitoa notisi ya mdomo na sio ya maandishi ya kusitishwa ujenzi huo akidai mpaka mmiliki awasilishe nyaraka serikalini.

Licha ya ujenzi huo kufanyika bila kufuata taratibu za kisheria, ikiwemo kutokuwepo kwa kibao kinachoonyesha mkandarasi anayehusika na ujenzi, lakini ofi sa huyo hakuchukua hatua zozote za kisheria.

Katika kutaka kujua ukweli wa mzozo huo, gazeti hili lilifanikiwa kupata barua iliyoandikwa na serikali ya mtaa kwa Halamashauri hiyo kuhoji ujenzi huo. Barua hiyo yenye kumbukumbunamba MKT/SER/MT/ TPDC/05/2015, iliyoandikwa Desemba 11, mwaka huu na kupokelewa Desemba 14, bado haijatolewa ufafanuzi na mkurugenzi kama ilivyokuwa ikielekeza.

LUKUVI KUTUMBUA JIPU
Kufuatia malalamiko hayo ya wananchi, Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alisema serikali itavunja uzio na shughuli za ujenzi zinazoendelea kwenye eneo hilo itakapobaini ukweli, ifi kapo Jumatatu.

Katika kusisitiza hilo, Lukuvi alisema hatua hiyo itahusisha hadi vigogo wengine watakaobainika kuvamia eneo hilo.

Alisema baada ya serikali kupata taarifa, timu ya maofi sa ardhi itachunguza kwa kina eneo hilo ili kuthibitisha. Juzi gazeti hili lilishuhudia maofi sa hao wakiwa kwenye eneo hilo wakifanya uchunguzi.
Hivyo viwanja vimevamiwa siku nyingi sana na vigogo wa CCM. Ni tangu enzi za Mkapa. Kulikuwa na uwanja wa michezo mzuri tu lakini viongozi wa serikali walivyo walafi wakajitwalia huku wakifanya geresha ya kuwapa kanisa katoliki kisehemu cha kujenga. Kinachoendelea sasa hivi ni kumkomoa Sumaye na wala sio ukweli wana uchungu na sehemu kutwaliwa kifisadi. Ufanyaji kazi wa aina hii wa kuangalia mtu yuko upande gani kisiasa ndio uchukue sheria ni ujinga na hausaidii lolote. Nina uhakika kabiosa Sumaye angeshiriki kuipigia CCM debe hizi hatua zisingechukuliwa!
 
Hiyo Nyumba ni ile waliojigawia na kina Magufuli, wanamchomoza ili aende mahakamani kwa kuwa kavunja masharti kwa kuikodisha wakati haitakiwi
 
Back
Top Bottom