Write your reply...umesema sana ,ila yote sahihi muombe basi aingilie kati swala la wazee wastahafu ili nawo wampe ,baraka kama alivyo ingilia swala la korosho,sababu kumpangia mzee haki ya jasho lake ni dhambi
Wazo zuri umefika sasa wakati wa kutatua changa moto mfano sasa hivi mchele wa kyela unalimwa vietinam na ndio nchi ya kwanza ,duniani kwa sasa inayoo uzaa mchele duniani
Usemihuwo una mantiki sana, japo vijana tunajipotezea tujiulize ni kwanini? Wakoloni walikuja kulima mazao mbalimbali,walichukia ardhi yenye rutuba, wakaanzisha propaganda chafu tuchukie kilimo tuamke sasa,kila kitu ni ardhi tuamke sasa
Tatizo wasomi hawajafanya resarch za maana nikitu gani?kifanyike katika jamii yetu, iko wapi? Elimu ya kujitegemea,misingi yake mbona ndioilikuwa mkombozi tatizo ni kukopi na kupesiti elimu za wenzetu, mungu atakuja kuwauliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.