The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,812
Emenibidi nicheke kidogo...vip Asian country kama Thailand,Philipine na Indonesia wao ubaguzi hakunaSi huko mkuu ndiko ambako wananchi vijijini hawajawahi kuona ngozi nyeusi kabisa? Yaana mpaka vitoto huwa vinakimbia kujificha vikiona ngozi nyeusi!! Nakumbuka awamu moja tulienda Cambodia hayo ndo yalitukuta!!