Mmmh wajameni, kweli bongo watu malimbukeni, a twelve years old car at this price, this is about 6000 pound sterling, in UK taking into consideration of current economical situation and stagmant car industry market you could get a Honda Crv at least ya mwaka 2006 ikiwa na vikolombwezo vyote vya...
Wakuu!
Kuna kitwa inaitwa EVIDENCE BASED MEDICINE,kwa ufupi recently hapa UK wameanounce officially kutotumika kwa hizo Paediatric Cough Syrups kwa watoto below six years of age, trend ni kuongeza age limit up to 12 years of age in the nearest future.Before it was below two years of age...
Wajameni, kwa wale wa Dar-es-salaam,je mlishawahi kusikia lile la MTU KUGEUKA CHATU.Nafikiri hili lilikuwa sehemu za buguruni na lilivuma sana.
wasalaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.