Lady owned and operated Honda CRV RD1 Type for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lady owned and operated Honda CRV RD1 Type for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by PatPending, Jul 30, 2009.

 1. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Odometer at present: 88,436 km
  Odometer when imported into Tanzania: 53,840 km
  Imported from: Dubai, UAE
  Date of reg: 01/08/2006
  Year of Manufacture: 1997
  Colour: White
  Price: TSh. 12 mil OVNO
  Seating Capacity: 5

  Engine:
  1998cc DOHC 16-valve 4-cylinder
  Horsepower:124 HP, Torque: 133 lb-ft @ 4500 rpm


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Genuinely interested parties can get in touch via PMs
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Good advert. Wamama changamkieni.
   
 3. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Would a "lady" driven vehicle be in a better condition than if it would have been driven by a "gentleman"?
   
 4. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Let's be realistic... hii gari ni ya mwaka '97 (miaka 12 iliyopita). Isitoshe imeambaa km 34596 katika barabara za kibongo zilizojaa maandaki na madimbwi. Halafu eti price tag inasomeka TZS 12mil!! Kweli Bongo mambo mdundo tu.

  Anyway, mimi niko interested na hicho kichwa cha treni kilichokuwepo kwenye background ya picha ya pili. Tuongee basi.....!!!
   
 5. k

  kakamiye Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh wajameni, kweli bongo watu malimbukeni, a twelve years old car at this price, this is about 6000 pound sterling, in UK taking into consideration of current economical situation and stagmant car industry market you could get a Honda Crv at least ya mwaka 2006 ikiwa na vikolombwezo vyote vya electronics na kama unataka ku i ship bongo the maximum it will cost you will be 500 to 1000 pounds.

  This prove one thing, the advantage of mtandao na mwenye macho haambiwi tazama.

  Alamsiki.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Brazaz and sistaz.... Anayetaka atam-PM muuzaji; ya uingereza na dar tofauti kabisa [hata hayo magari ya pound 2000 huku tunalipa milioni kumi], akikosa mteja atashusha bei mwenyewe
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Watu bana.....! kama hupo interested sna hiyo business si ukae kimya ndugu acha kudiscourage wengine na kumharibia business mkuu! Eti Uk blablablaaaaa...hapa ni bongo.....hupo happy na gari no one forces you! bishara ni maelewano.....unaweza kuta anakuja kuiuza hata kwa 7,8,9mil ....bargaining power tu na yeye anataka kumaximize as well ...Lol!
   
 8. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Tunashukuru kwa ulimbukeni wetu hapa Bongo, bt inaonesha uliondoka siku nyingi, kama sikosei enzi za kudandia meli! Inaonesha U dont even know what is happening in Tanzania in terms of tax payment, registration fees, and other associated charges, leaving apart the freight and demurage charges!

  Inawezekana uki-import direct bei ikawa chini, bt this is already there! There is a time constraint, inconviniences etc before the car becomes yours!

  Nevertless, kuna watu wanaitwa COTECNA-TISCAN, hawa hawana cha msalia mtume. Utaonesha docs zote kwa umenunua CRV ya mwaka 2006 kwa pound 6,000, but their tax estimate will base of what's that car market price!

  Hivi vyote mzee wa UK huvipigii hesabu??

  Acha kudiscourage watu bwana, na wewe fanya hima uje usalimie nyumbani japo ujue what's going on the ground, ntakusaidia wasikubanie visa renewal!
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Entrepreneur lazima huyo jamaa akushukuru kwa shule uliyo mpa aisee! Hao washikaji wamezamia huko majuu miaka nenda rudi hawarudi hata kuwapa hi ndugu zao na kujua wht is happening now on the ground...madhara yake ndo hayo ya kuwa na picha za mwaka 47 vichwani...na wakija rudi home wanashangaa sana!

  Kifupi suala linalofanya magari yawe expensive bongo ni kodi....Import duty 25% of CIF value+ 5% or 10% excise duty *(CIF + Import duty) value+20% *(CIF+Import duty+excise duty) value na kama gari lako ni la zaidi ya 10 years...basi jumlisha 20%*(CIF+Import duty+excise duty+VAT)!

  So ukiangalia hapo utakuta kodi ya magari ni kati ya 50% na 75% ya CIF value! Sasa kwa kuwa calculation ya kodi moja inafanyika baada ya kujumlisa kodi nyingine, ina maana effetively gharama za kulipa baada ya CIF Value zinaweza kuwa up to 100% yaani mara mbili ya gharama ya kununulia!

  Hapo bado hujasajili, insurance etc....halafu mtu analeta story za mamtoni hapa!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hii kitu Mj1 vp itakufaa? Maana foleni siku hizi zimezidi ukisimama toka Posta mpaka Mbagala miguu itaota sugu.
   
 11. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Bravo Mkuu NL, nashukuru umenikumbusha suala la insurance. Ila kuna sula la risk pia. Magari mengi yanayotoka UK ni ya upigaji kwani tumeona watu wanaendesha Vogue na X5 kwa kulipia doal 10,000. Sasa why should I take that risk while this car is already registered, and better sill, doing due diligence is much easier!
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kaka.......kwa mapozi na upedeje....nakubali...ndo maana kule kny ''mtandao'' huwa unaingia kirahisi!.....ha!ha!ha!....! kweli 70k za kuretouch was immaterial kaka....MJ1 unataka ummalize kwa Honda CRV? unatisha bro!
   
 13. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bado kabisa tz magari yanauzwa ghali unafunga mkanda unalipa kpdi kibao,halafu wanatokea watu tu wanaila hela yako, sasa hatuoni sisi ni washamba bado?kodo zote hizo kwa faida ya nani? so watawala bado wanabeba lawama, kwani japo kodi ni kubwa kuliko maelezo but haionekani inakokwenda, ndo kuliia hse 10M, 200M+ FURNITURE EEH KM KWELI. so hatuna ili munkari ya kususa tunachotakiwa kufanya japo kwa mda, so TISCAN ina faida gani pale? why TRA wasitoe hiyo huduma kwa hizo duty zote tunazoipia? ushenzi mtupu tz. ahaa CRV ya 96 kwa 12M?? baado sana mazee, gari yenyewe honda/ bora ingekuwa toyota!!
   
 14. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habari ya wapi mkuu, UK or USA?
   
 15. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  muzee mjasiriamali wahapahapa tu ndugu yangu
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Lazima Tz mtoe kodi kulipia pango la Spika la $ 8,000 kwa mwezi!

  Habari ndiyo hiyo!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahaha Kaka hivi ni vijimambo tu usishangae usione hatari ni vijimambo tu MJ1 kachoka kupanda daladala lazima nae awe kwenye kiyoyozi bana.
   
 18. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni kweli wa hapahapa ndo maana unafagilia Toyota make local citizens huwambii kitu kwa Toyota.
   
 19. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  gari kama hilo uk la mwaka 1997 ni £1,000 ambayo ni sawa na 2,000,000 za kibongo
  kwa mahesabu ya tra

  Dear next level

  If CIF Value is TShs 2000000

  And if Storage Exeeded normal 7 uncharged days by: 2 Days
  Import Duty is TShs. 500000
  Port Fee is TShs. 260000
  Shipping line is TShs. 148000
  Storage is TShs. 56000 (nimeweka storage ya siku 2)
  Other Charges is TShs. 67361

  Total Cost for Vehicles Inclusive CIF Price

  Total Cost where by Year of Manufacturing is 10 years and above from this Year
  Vehicles with CC Less than 1000 is TShs. 4071361
  Vehicles with CC btn 1000 to 2000 is TShs. 4218861 ya kwetu ndio hii
  Vehicles with CC more than 2000 is TShs. 4366361

  ukiweka na bei ya kusafirisha ya £800 ambayo ni sawa 1,600,000

  jumla 4,218,861 + 1,600,000 = 5,818,861

  kutoka 5,818,861 mpaka 12,000,000 kweli bongo magari bei rahisi

  ukitaka hata wewe unaweza kupiga mahesabu kutumia calculator ya tra kwa ku click hapa

  nia iwe ni kubadilishana mawazo baina ya wa TZ waliokuwa sehemu mbalimbali na sio kubishana nani zaidi

  weekend njema
   
Loading...