Recent content by Kaka

  1. Kaka

    JamiiForums Tanzania Taaj Services/Sundus Money transfer Tanzania

    Ulifanikiwa mkuu. Naomba tupe maarifa mkuu.
  2. Kaka

    JamiiForums Tanzania Taaj Services/Sundus Money transfer Tanzania

    Ulifanikiiwaje mkuu? Kuna senti zangu kwao hata sijui naanzaje kupata ofisi zao.
  3. Kaka

    JamiiForums Tanzania Taaj Services/Sundus Money transfer Tanzania

    Hiyo namba ya Airtel ni ya waziri wa zamani na hahusiki na hiyyo kampuni.
  4. Kaka

    JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Bahati Magufuli (John Pombe) hayupo kukiri au kukana hilo.
  5. Kaka

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Funtus [no], Functus [yes]
  6. Kaka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

    tunduma haiko Mbeya!
  7. Kaka

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

    Shukran sana kwa mwongozo huu. Angalau ni muhimu kukumbushana. Until then ...
  8. Kaka

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema ahaidi kuendelea na mapambano

    Hebu tupe wewe jibu, nchi ina hosp na vituo vya afya vingapi?
  9. Kaka

    JamiiForums Tanzania Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri mauaji ya Akwilina

    Kwa mfano?
  10. Kaka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona!

    Sasa hapo ulipoandika "... Tundu Lissu (naamini umeandika kwa herufi ndogo hill jina kwa makusudi), uchaguzi utakuja Magufuli atashinda…" umemaanisha Lissu atakufa kabla ya utawala huu wa awamu ya 5 kumaliza muhula wake au sio? Kama jibu ni ndio, umetumia vigezo gani kuhitimisha hivyo? Kaka...
  11. Kaka

    JamiiForums Tanzania Alfayo Kidata kupelekwa Mahakamani, ni balozi aliyerejeshwa kutoka Canada

    Null and Void ... TRNA ngoja tuongezee "abinitio"! Kaka ...
  12. Kaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mary Keitany wins at New York Marathon 2018

    At least pro boxing brings us as international belts!
  13. Kaka

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Anaitwa Amani, mdogo wake Hermes. Kwenye ile orodha ongeza:- Mabeste, Vanessa Mdee Kaka ...
  14. Kaka

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    Kwa namna ulivyoandika, ina maana ratiba yake ya "matengenezo" inajulikana kulingana na masaa iliyoruka. Sasa inakuwaje abiria wanasubirishwa muda mrefu wakati inajulikana siku fulani itakuwa gereji!
  15. Kaka

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    Dah! Afadhali na sisi tusubiri kulipwa fidia Wallah! Kaka ...
Back
Top Bottom