Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona!

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,674
71,035
Mhe. TUNDU ANTPASS LISSU pamoja na kumharass kumfunga kusikiliza mawasiliano yake yote na hatimea Kwenda kumuua lakini guess what?!

Tundu lissu bado tupo nae Magogoni +Lumumba kamasi zinawavuja
JWa3.gif
 
Mhe. TUNDU ANTPASS LISSU pamoja na kumharass kumfunga kusikiliza mawasiliano yake yote na hatimea Kwenda kumuua lakini guess what?!

Tundu lissu bado tupo nae Magogoni +Lumumba kamasi zinawavuja
View attachment 1017533
Nimekuwa nikiyafakari ujasiri wa Lissu mpaka natetemeka, naogopa Lissu ni kiumbe wa nanmna gani.
Ujasiri kama wa Lissu haukotofauti na ujasairi wa kidikteta tofautii ni moj tu, Lisu anatenda mema madikteta wanatenda yaliyo ya Sheitwain.
 
Hana maajabu yoyote.wajinga ndio mliwawo....tundu lissu atakufa,uchaguzi utakuja Magufuli atashinda... Tanzania itazid kupaa na maisha yanaendelea..yeye atabak kuwa historia tu kwa unafki wake wa kutumia sheria kutetea ushoga na wizi wa rasilimali zetu
Mkuu nawe ni mjasiri sana. Una hakika Lissu Atakufa kabla ya mwingine!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhh!yako kali! lissu ndio mwizi wa rasilimali zetu?hemu acha utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua Ni sawa na usiku wa giza..waizi wa madini wapo wengi Ni chain inayoshirikiana..kila mmoja na kitengo chake.mwingine usafirishaji,mwingine kazi yake Ni ku negotiate na maafisa wa serikali na kuwapa rushwa , mwingine Ni kuwatetea na kuwaibia Siri na huyo ndo lissu pumbafu
 
Naangalia struggle anazopitia Lissu. Kama ingekua ni mapambano dhidi ya Mkoloni mweupe aisee Lissu angeshatupatia Uhuru. Jamaa amepambana sana na sisi hatutamuangusha, tunataka nchi yenye nidhamu ya katiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tutakufa,Mimi,wewe na lissu...na tutakwenda kwenye maisha mapya na ya hapa tutayaacha hapahapa
Basi ujue kuwa utakufa. Hata hawo waliokuwa na nia ya kutakakumuuwa lissu watakufa na watakwenda yakuta walioyatenda.

Pia ujue Kwamba Mungu ni muweza WA kila kitu humfisha kiumbe wake kwa muda wake yeye na si kiumbe kitake.

Jee hawa waliopanga jaribio hawakujua kuwa kuna Mungu na ndiye mwenye dhamana ya kufa kwetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wanadamu wachache saana yaani mtu aponee chupuchupu kufa lakini akarudi to be even more stronger than before - kuna kitu kinamtaka afanye hivyo hawezi kukwepa ni wito.
Wito hupewa watu na ni lazima utafanya tu utake usitake; ile kazi ya Mussa haikuwa ndogo hata kidogo kuna muda alikesha akimlilia Mungu wake amwepushie hiyo kazi lakini haikuwezekana.

Body language ya Lissu inaonyesha fika kwamba ni zaidi ya yule Lissu kabla ya shambulio.
 
Hana maajabu yoyote.wajinga ndio mliwawo....tundu lissu atakufa,uchaguzi utakuja Magufuli atashinda... Tanzania itazid kupaa na maisha yanaendelea..yeye atabak kuwa historia tu kwa unafki wake wa kutumia sheria kutetea ushoga na wizi wa rasilimali zetu
Sasa hapo ulipoandika "... Tundu Lissu (naamini umeandika kwa herufi ndogo hill jina kwa makusudi), uchaguzi utakuja Magufuli atashinda…" umemaanisha Lissu atakufa kabla ya utawala huu wa awamu ya 5 kumaliza muhula wake au sio?

Kama jibu ni ndio, umetumia vigezo gani kuhitimisha hivyo?

Kaka ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1017608
Na bado! na ndege zinaenda tupu na bado zinapinduka Cheza na Lssu weye
Sio kweli. Ni full muziki. We nenda saa 11 asubui uone hamsha hamsha ya abiria, halafu karibu tena utuletee mrejesho. Hata kwenye parking lot panakutosha, ujumbe utapata.
By the way mkuu, mbona zamani haukuwa mchawi, umeanza kuroga lini.
 
Back
Top Bottom