Recent content by Kaka Mpole

  1. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

    Kama suala Ni Hangover Basi Balimi is the best.
  2. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Juu kutamu
  3. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania TAWA yazindua bucha ya kwanza ya nyama pori

    Usinunue Kama hujaona kichwa
  4. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ubungo interchange, imepunguza foleni au imepunguza msongamona kwenye eneo la daraja yaani katika mataa ya Ubungo?

    Lengo ni kuweka mandhari nzuri ya jiji la Dar es Salaam.
  5. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ni ajira kila kona ya nchi, Miradi mikubwa yaajiri maelfu ya Wanavyuo hasa Engineers

    Unaongelea vibarua au ajira?
  6. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ni ajira kila kona ya nchi, Miradi mikubwa yaajiri maelfu ya Wanavyuo hasa Engineers

    Tunaongelea vibarua au ajira?
  7. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Nahisi kila mmoja sasa ana corona virus mwilini mwake,mapambano huko ndani kwa ndani yatakuwa balaa,ukipona jua kinga za mwili zimekuokoa...na mpango wa Muungu kwa maana ya kudra zzake.
  8. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

    Siasa inalipa inategemea unaifanyaje,acha imlipe,tabiaa za nyumbu kwani huzijui?
  9. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

    Mbinu nzuri naona mnaanza kum-"provoke" Dogo janja
  10. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue Ombeni, jipime na ustaafu kwa manufaa ya Umma

    Kwa mafile yaliyopo mezani bado ni msaada kwa JPM,na pia yeye ni mpokea majukumu,kama alikuwa hapewi majukumu angelifanyaje?sasa wakati wa kazi anapewa majukumu kila kukicha.Naamin kamaJPM hamkubali bado anamlia timing,ngoja aimiliki ofisi kwanza.
  11. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Naamini wanaangalia hili kwa macho yote,atakuwa na washauri wa uchumi wabobezi,kinadhalia na kivitendo unachosema kinaweza kutoea na kinaweza kisitokee pia
  12. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Hakika Mawazo alikuwa mbia wako,pole sana naamini pamoja na kuishi ndoto yako unaishi na yake pia ili kumuenzi.
  13. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania mkwasa mm sijaelewa ile sub

    Sasa samahani ya nn wakati ni timu yetu sote na Mkwasa kuchemsha......hata Maguli sub yake haikuwa Ngasa heri hata Msuva.....beki ya kati nayo ishachoka tupange kuwapa nafasi wengine.....makosa yao leo toka first half yalikuwa ya kizembe mno
  14. Kaka Mpole

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ufaransa aokolewa na Samsung Galaxy S6 edge

    Simu ilikuwa Ina hang au ilikuwaje ipige simu bila madhara kwa mwenye simu?
Back
Top Bottom