Recent content by kaka miye

  1. K

    Wadhamini wa Lissu watakiwa kufika Mahakani kuelezea afya yake

    Tuache ushabiki wa namna hii je mahakama haina wajibu wa kumuhoji mtu yoyote? Au kwa vile Lissu ndo mnakuja hivyo. Tusipende kupitiliza tuache watu wanyanye kazi hiyo
  2. K

    Dhahabu ya mabilioni na mamilioni ya shilingi taslimu yakamatwa Mwanza!

    tumeambiwa hivyo kuwa thamani yake ni hiyo sasa wewe ndo unapaswa kudhibitisha kama dhahabu kiasi hiki ya bilioni hii haiwezi kuwa kwenye gari hiyo.Pia jua kwamba anayejua thamani ya mzigo ni nani sio unapakini bila kuja na kitu cha kuelimisha
  3. K

    Gari la Polisi Arusha laua wawili, wamasai wachachamaa na kutaka kulichoma

    tusiwalee tunawapa kichwa kuwa wanawatetezi hata wakifanya makosa hao bodaboda tuwaambiee wa
  4. K

    Gari la Polisi Arusha laua wawili, wamasai wachachamaa na kutaka kulichoma

    polisi alikuwa mwendo kasi na hao pikipiki pia wameingia bila uangalifu barabara kuu . Pia analia uendeshaji wa pikipiki sehemu zote na ujiridhishe kuwa huwa wanafuata sheria za barabarani
  5. K

    Gari la Polisi Arusha laua wawili, wamasai wachachamaa na kutaka kulichoma

    sheria ni msumeno inakata pande zote je nani hapo hana makosa
  6. K

    Licha ya CCM kutufikisha hapa tulipo, Magufuli analeta tumaini jipya

    Write your reply...hao ndo watanzania naowafahamu hawana jema
  7. K

    Bajeti ya Marekani ni dolla trillion 4 - hivi Magufuli huwa anawaza nini anaposema Tanzania yaweza kuwa donor country wakati wa Urais wake?

    Write your reply...watu humu mna povu la hatari lakini wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha na nchi kuwa donor inawezekana angalieni china ilikuwa wapi na leo ipo wapi .hivyo ni jukumu letu kila mmoja kwa wakati wake kuchangia mawazo chanya na nchi inaweza kusonga mbele ingawaje sio kama...
  8. K

    Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

    hapo umesema kweli hasa kuwatambua ni jambo la muhimu sana kwa mipango endelevu ya nchi yoyote subiri baada ya 2020 utaona impact yake
  9. K

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

    Write your reply...Je watanzania tunataka kiongozi wa namna gani wakati wa Kikwete mlisema ni dhaifu na kumuita vascoda gama amekuja huyu Jpm imekuwa shida tunataka nini . hii inadhihirisha kuwa binadamu hatosheki hata ukimpa nini milele hataridhika hebu tusimame imara tu tujenge nchi na uchumi...
  10. K

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Write your reply...mh jamani mwenye taarifa zaidi atujuze
  11. K

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Write your reply...ukitaka kujua ubora wa chuo nenda kafanye utafiti katika chuo husika acha hizi political of blabla hapa bila kuja na mambo sahihi na hakika vyuo vyote vipo tanzania nenda kajifunze
  12. K

    Bodi ya mkopo mnatesa watoto wa familia maskini

    Write your reply...mh jamani mkopo ni jambo muhimu sana unasaidia sana chuoni maana bila mkopo kuna vijana hawajiungi na chuo. serikali inatakiwa kutafakari nini cha kufanya ili watanzania wapate elimu hata ikiwezekana kuanzisha mpango uwe kama bima ya elimu wazazi wote wachangie toka mtoto yupo...
Back
Top Bottom