Hiyo ameongezea ni federal budget , kuna local government budget pia.Huwezi linganisha Tanzania na Marekani, Tz ni kama kajimbo kamoja tuu ka Marekani.
Kwa ufafanuzi zaidi $4 Trillion ni Sawa na Tshs 9,200 Trillion yaani 9,200,000,000,000,000/=
Sisi tunakusanya 1.4 Trilion kwa mwezi kwa mwaka tuna 16.8 Trillion, kwa hiyo ili jamaa tuwafikie tunahitaji Miaka 547 kama tukianza kuzikusanya January hii inayokuja na kuziweka
Another consoling comment!Unaelewa maana ya kua donor?tuanzie hapo,..hujui hata ukiwa nachakulacha kutosha unaweza donate hata sudan huko.
Au umekariri lazma ziwe pesa taslimu
Alimaanisha milioniunasema tanzania skwea mita hata laki moja haifiki alafu chini unaandika 945,087. wtf?
Rais Magufuli yupo sahihi kabisa kama tukitumia rasilimali zetu vizuri Tanzania haiwezi kushindwa kuwa Donor country. Nchi kama Denmark, Finland, Sweden mbona zote ni donar countries wakati Tanzania tunakina aina ya utajiri.Nilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa donor countries na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi
View attachment 966320
Kweli mkuu kuwa na resimali sii kigezo kuwa ni tajiri na watanzania wengi tunadhani vitu tulivyonavyo nchi zingine hazina kumbe nchi zingine zinazo ndiyo maana zinatuzi sana kila nchi duniani inavitu vingi sana mfano dhahabu ukiangalia kidunia sisi wangapi kwa dhahabu utangundua sisi ni masikini Wa fikira hata na hizi resimali tusijidanganyeNi fikra za kijinga kabisa kufikiria kuwa eti mali asilia ndiyo zinaweza pekee kuwafanya muwe matajiri.
Utajiri mkubwa ni kichwani wala siyo kwenye mikia ya fisi na pundamilia.
Utalii wenyewe tunaojivunia unatuingizia $1.9 billion. Afrika Kusini wasio na Serengeti wanaingiza $5 billion kwenye utalii. Egypt wasio na Mikumi wanaingiza $7 billion. Mji, siyo nchi, mji wa Paris usio na Ngorongoro unaingiza zaidi ya $80 billion kwa mwaka. Hapo ndipo inapoonesha kuwa vivutio asilia bila kuwekeza akili, havina maana katika mapato. Kila kitu ni kichwani
Hakuna uwezekano wowote wa kuzifikia mapato nchi kama Norway, kama tutaendelea na ujinga kuwa ukiwa tu na mbuga za wanyama, au dhahabu au Tanzanite, basi weqe ni tajiri. Utajiri wa leo upo kwenye kichwa.
Umedhihirisha ujinga wako. Hujui ulisemaloNi fikra za kijinga kabisa kufikiria kuwa eti mali asilia ndiyo zinaweza pekee kuwafanya muwe matajiri.
Utajiri mkubwa ni kichwani wala siyo kwenye mikia ya fisi na pundamilia.
Utalii wenyewe tunaojivunia unatuingizia $1.9 billion. Afrika Kusini wasio na Serengeti wanaingiza $5 billion kwenye utalii. Egypt wasio na Mikumi wanaingiza $7 billion. Mji, siyo nchi, mji wa Paris usio na Ngorongoro unaingiza zaidi ya $80 billion kwa mwaka. Hapo ndipo inapoonesha kuwa vivutio asilia bila kuwekeza akili, havina maana katika mapato. Kila kitu ni kichwani
Hakuna uwezekano wowote wa kuzifikia mapato nchi kama Norway, kama tutaendelea na ujinga kuwa ukiwa tu na mbuga za wanyama, au dhahabu au Tanzanite, basi weqe ni tajiri. Utajiri wa leo upo kwenye kichwa.
Ni fikra za kijinga kabisa kufikiria kuwa eti mali asilia ndiyo zinaweza pekee kuwafanya muwe matajiri.
Utajiri mkubwa ni kichwani wala siyo kwenye mikia ya fisi na pundamilia.
Utalii wenyewe tunaojivunia unatuingizia $1.9 billion. Afrika Kusini wasio na Serengeti wanaingiza $5 billion kwenye utalii. Egypt wasio na Mikumi wanaingiza $7 billion. Mji, siyo nchi, mji wa Paris usio na Ngorongoro unaingiza zaidi ya $80 billion kwa mwaka. Hapo ndipo inapoonesha kuwa vivutio asilia bila kuwekeza akili, havina maana katika mapato. Kila kitu ni kichwani
Hakuna uwezekano wowote wa kuzifikia mapato nchi kama Norway, kama tutaendelea na ujinga kuwa ukiwa tu na mbuga za wanyama, au dhahabu au Tanzanite, basi weqe ni tajiri. Utajiri wa leo upo kwenye kichwa.
kwanini mchague mtu mwenye frustationAmesha sema huwa anakuwa na ma frustrations yake
Kwani lazima uwe donor kwa USA? ?Nilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa donor countries na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi
View attachment 966320
Ana maanisha tuanze kufikiria kuwa tunaweza. Mbona nchi za Far East wameweza? We can easily meet Korea, China au MalaysiaNilikuwa najiuliza zile nchi zinazoitwa donor countries na kiongozi wetu uchumi wake unafananaje - ndipo nikaamua ku-google Federal Budget ya dona kantre ambaye sote tunamjua - Marekani..
And man ohh man - hawa jamaa are filthy rich - if at all rich is the right word to describe them...federal bajeti yao kwa mwaka ni USD 4 trillion....
Sasa ndo nikajiuliza....Rais wetu huwa anawaza nini anaposema nchi hii yaweza kuingia kwenye Club ya dona kantrez kama Marekani katika miaka 10 ya Urais wake??? Au pale anapojitutumua kuwatunishia misuli? Kwa tukorosho hizi kweli?
NA tusisahau Korosho tayari zinatudodea pamoja na kupeleka Jeshi😅😅
View attachment 966320