Rais mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchungaji Msigwa

Hawa jamaa hata shetani anawaogopa. Hawa si ndio walimwita jk dhaifu na goigoi mpenda matanuzi na mla bata! Wakamwita vasco dagama, sasa kulikoni?
 
Write your reply...Je watanzania tunataka kiongozi wa namna gani wakati wa Kikwete mlisema ni dhaifu na kumuita vascoda gama amekuja huyu Jpm imekuwa shida tunataka nini . hii inadhihirisha kuwa binadamu hatosheki hata ukimpa nini milele hataridhika hebu tusimame imara tu tujenge nchi na uchumi wetu binafsi tuache political of blabla maana haita tupeleka popote tufanye kazi tu maana hakuna atakayekuja tukasema sawa tujifunze kukabiriana na hali tubadilike kulingana na wakati
 
Back
Top Bottom