Jengo la Makao Makuu linabomolewa, hivyo wafanyakazi wapo busy kuokoa mali na sio kusimamia huduma za grid ya Taifa. Wasilaumiwe wao kwa kuvibadilisha vipaumbele vya kazi zao katika kipindi hiki.
Alishawahi kukamatwa na kudhaminiwa ili waisubiri kesi kuisikilizwa, lakini akaitumia fursa hiyo ili kutoroka. Ikabidi asakwe hadi akakamatwa upya maeneo ya Iringa, akiwa anakimbilia mipaka ya kusini, kwa maana ya kuelekea kwenye nchi zilizo nje ya EAC.
Ni hafadhali mashtaka yake yatajwe tu...
Namuonea huruma huyo jamaa. Amepokea pongezi nyingi, kisha akaaga nyumbani ili akale kiapo.
Ndugu, marafiki na jirani zake wanamuona amekaa pale Ikulu, na ghafla anatimuliwa kama vile amefanya makosa yeye.
Kweli anastahili kupewa heshima zaidi ya hapo, na angalau kulipwa fidia kwa usumbufu na...
Ushauri wa kusoma kwanza ni sahihi kabisa. Tena umwambie huyo msichana kwamba huna muda wa ku-spend nae kwa sasa kwani masomo ni magumu mno na mitihani inakaribia. Ila hapo isije ukawa kila siku unakula starehe za mjini.
Pamoja na yale maelezo mazuri ya Mdanganywa katika mada hii, tuyatafakari pia haya ya ziada:
1) Hizi huduma za WhatsApp, FaceBook, Twitter, nk. hazitegemei tu upatikanaji wa Internet kwa njia ya simu zetu za viganjani. Wale wenye direct Satellite link wataendelea kupokea mawasiliano yao ya...
Kwani kuna chochote kilichotokea huku Tz? Ile filamu iliyoleta hasira ni ya kipumbavu mtupu, na aliyeitengeneza atashtakiwa hata na waigizaji, kwani alibadilisha maneno waliyotamka ili kuchochea hasira za kidini. Mhusika ameshapatikana na ni mtapeli fulani kutoka Misri aliyesuka mpango huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.