De Classic Boy Jr
Member
- Oct 28, 2015
- 52
- 45
Mimi ni kijana wa Kama miaka 22 na ni mwanafunzi wa chuo flan hapa DSM .
Kuna msichana nimekuwa nikidate nae for about three months now.
Mwanzon kabisa hakuwa tayari hata kukutana na mimi but slowly akaanza kutaka tukutane private.
Sasa tatizo ni kwamba kila nikimuambia kuhusu being couples hatoi majib yeyote rather than smiling na kuanza kuona aibu. Imefika point nikaamua kukata mawasiliano nae ila after siku tatu anaanza kunitafuta tena
Yaan in short nishamkaushia kama mara tatu but she keeps coming back
Nifanyeje maana imekua too much