Haina madhara mi ninazo dukan kwangu na ninaziuza kwa sasa ni 4500 kwa kidonge cha mg yoyote.
Mwanzoni Kama mwezi wa 8 nilikuwa nauza kwa 3500 vimepanda maana pharmacy anayoniletea kapandisha toka 2200 mpaka 3100
Habar?
Nani anaweza kunisaidia hiki chuo kipo accredited na mamlaka za huko?
Na je TCU wanakifaham maana kuna ndugu yangu anataka kusoma hapo kwa online
Habari wakuu?
Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato.
Swali:
1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi?
2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka?
Asanteni sana.....
Usipojiongeza utakoma. Mi nilikuwa na tatizo fulani hivi kweny hii mitandaon yetu kwakweli nilizunguka kufuatilia kwa zaidi ya miezi miwili. Jana nikaenda ofisini baada ya salam nikamwambia "sema nijiongeze vipi maana najua hili tatizo si la kuchukua muda mrefu hivi,sema nifanyaje?" Akajibu acha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.