Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Akamchokoze Majani yeye si muhuni. Hivi yeye nan anakorofishana na kila mtu refer list ya watu aliowapiga kweny comments juu hapoKwanini kampiga???kampiga bila kosa??kwani adam ni kichaa??nahisi kuna chanzo ungekiweka pia tuone


kubwa kama clouds na bado yupo anatamba na sio mara moja..inasikitisha.