cha msingi tulia dada yangu na mieleshe juu ya athari watakazozipata watoto wenu ili msije mkajikuta mnapata ukimwi na baadaye watoto wenu watabaki yatima ni bora mkayamaliza
mhhh asante kwa kunifahamisha kkn kura ya mtu ni siri yake na hauwezi kujua kama zitto baada ya kupata urais atabadilika au la kwasababu watu hubadilika
Big up diamond! do the best show ili siku nyingine ualikwe kwenye sherehe au mkutano mwingine.Na kwa juhudi zako utwaonyeshea njia hata wasanii wenzako wa bongo fleva!
Da ninatamani kupata more news about that issue coz it is interesting.Lakini kama kweli hawa wanamuziki wa kizazi kimya wanaenda wapi? badala ya kuendeleza mziki wa kizazi kimpya wao wanaleta mabo mengine! dah!
Ni kweli unachokiongea maana hiyo mahakama ingeanzishwa na watanzania tungelazimishwa kuifuata watu wengine wange teseka sana.Na pia watambue kuwa nchi yetu haina dini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.