Recent content by kajembejr

  1. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Yohana 15:4 hapa ndipo kuna kilakiu
  2. kajembejr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

    Yes!! Lissu awe makini na Doctor.Hiyo ndio silaha ya system kumdhofisha yeye na Chadema. Zile vurugu za Doctor kupelekwa mahakamani na sarakasi zote wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti CDM ilikuwa michezo lakini ilifeli ila nimefanikiwa kwa Cdm kujikuta wamejawa na Imani na Doctor Tena Wakati WA...
  3. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Daaaa !!Ila wa Tanzania tumezidi ukoondoo..Hizi nauli zinapandishwa kihuni sana.
  4. kajembejr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimcheat...

    Pole ndugu!!hapo kuna Mume wamtu anakula ama yupo mbioni kula mkeo...
  5. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Lena mke wa Adams: Nafurahia Zaid sex nikifanya na wanaume wengine

    Kizazi cha Lusifa!!!
  6. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

    Mi kungu!!
  7. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Bagamoyo
  8. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Hongera kwa mzazi wa bint kwakuwekeza kwenye Elimu ya Bint yake, Naamini katika hiyo shule Division One ni kama zote.
  9. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Nilipopoteza uwezo wangu wa kimiujiza

    Pole sana rafiki, Ulilopitia ni sehemu ya jaribu ambalo ulikuwa na uwezo wakulishinda. Lakini hata sasa shukuru Mungu mana ingali sauti yake unaisikia kwa namna ya unavyopata majuto kwa dhambi ile. Nikusihi tu,Dhamiria kwa dhati kabisa kufanya toba na maombi.Mungu wetu ni mwema wakati wote,Hata...
  10. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

    Soon watamtwaa waliosababisha tumfahamu!!
  11. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Duuuuu
  12. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Yes huku ndio wanapaswa serekali itutafutie wawekezaji,Hata huko Bandari pia lakini Mikataba iwe yenye manufaa kwa Nchi yetu,
  13. kajembejr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

    75% ya wanawake wenye Mikia kwa Bongo wametoboa Kimaisha.Wewe unaongelea wa Nchi gani?
  14. kajembejr

    JamiiForums Tanzania Serikali: Aliyedai mtoto kageuka jiwe alidanganya. Alijifungua mtoto 1 wa kike na alikuwa kaweka ahadi ya mtoto wa kuime

    Sasa kwahiyo walikula Njama na wifi yake pia?Mana WiFi anasema alimpokea mtoto akiwa bado Binadamu lakini amekufa,Ila kufika kwa mama chumbani mama Ndio akagundua mtoto amefariki
Back
Top Bottom