Recent content by kaja jana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?

    samahanini wakuu naomba niwarudishe nyuma kidogo DEED POLL ndo nini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Engineer II (plant) OSHA inasumbua kuomba ajira portal

    Habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba nafasi OSHA kipengele cha Engineer II (PLANT) ina vigezo, uwe una bachelor degree in mechanical engineering na pia uwe registered as graduate engineer na ERB sifa zote hizo ninazo ila bado inagoma leo ni siku ya tatu naomba niwasilishe wakuuu mnipe msaaada.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba kazi ya OSHA ajira portal kitengo cha Engineer II (Plant), vigezo walivyoainisha ninanyo lakini bado inagoma leo ni siku ya tatu, mwenye kujua ufumbuzi wake anisaidie wakuuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop laki na 80 tu

    Picha mkuuu Picha mkuuu Picha mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    Mwenge kkoo via kigogo jana nilipanda 500 leo 600
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    mwenye link ya kuangalia hii mechi online
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Hiyo nayo inakuwaje mkuu kwenye swala la kutoa iyo hela ilokuwemo kwenye lain ya lipa kwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maujuzi ya I Phone

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7]
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada nimesahau password ya account yangu ya kuomba ajira

    huu uzi kama ungeeendelea ungesaidia wengi sana wajuzi mlioexpiriensi hili swala na mkalipatia ufumbuzi mje
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua App nzuri ya kuangalia movie online

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. K

    JamiiForums Tanzania Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

    Shukran mkuuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo kali za kusikiliza wakati wa jogging

    Nikimaliza depo nikamuone mama
Back
Top Bottom