moja ya maneno ya baba wa taifa alisema,mtu anakwambia neno la kijinga na wewe unajua la kijinga unakubali anakuita juha,wamarekani kazi yao ni kuchonganisha tu ninyi kwa,ninyi muuane wakati wao wanachuma mali km,mafuta nk huki wakiuza saraha zao,sio watu ni wauwaji kuliko hata alkaeda.