WanaJF,
Kuna taarifa ndani ya chama kuwa ndugu Nape Nnauye (mb) ambae ni katibu mwenezi wa chama na waziri wa habari anatarajia kubwaga manyanga nafasi zake ndani ya chama kutokana na majukumu yake ya sasa serikalini.
Tofauti na vyama vingine, CCM inafanya mambo yake kisayansi. Kwamba ili ufanisi kwenye kazi uwepo ni lazima mtu ajitathmini ikiwa ataweza kushikilia madaraka ya chama kiutendaji na yale ya serikali kwa wakati huo huo. Amesema mtoa taarifa wetu.
Hivyo ndugu Nape kwa upande wake anatarajia kuachana na uongozi ndani ya chama, na badala yake kuwekeza nguvu na maarifa yake katika nafasi ya uwaziri na kutumikia wananchi wake wa jimbo la Mtama.
Mbowe na genge lako unapaswa kuiga mfano huu wa Nape. Uroho wa madaraka SIO dili.