Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Yeye atafanya nini kipindupindu kiwe historia?Na ndipo panapo mfaa haswaaaa, najua kipindupindu itakua historia.
Yeye atafanya nini kipindupindu kiwe historia?Na ndipo panapo mfaa haswaaaa, najua kipindupindu itakua historia.
Siasa za kizamani zinakuharibu!!!Mimi nipo Kinondoni pia sijui
Awamu hii mtumishi akisema neno mchakato anaambiwa suala la mchakato halitakiwi kabisakwani wewe unadhani kiongozi akifika kila jambo atalimaliza hapohapo mambo mengine ni mchakato siyo papo kwa papo.
Acha upopompo jibu ulichoulizwa amefanya kipi cha maana hapa Kinondoni?Siasa za kizamani zinakuharibu!!!
Dah, haya maswali ni ya darasa la tatu.Yeye atafanya nini kipindupindu kiwe historia?
Kama umeanza matusi it means huitaji kuelewa bali unatafuta ogomvi, so plz stay away!!!!Acha upopompo jibu ulichoulizwa amefanya kipi cha maana hapa Kinondoni?
Siyo lazima uandike maneno ya kizungu usichokuwa na uwezo nacho hiyo By the ndiyo kitu gani?hayo maganda ya muwa yanahusikaje na kipindupindu kuwa historia?tuliza akili uchangie cha maana.Dah, haya maswali ni ya darasa la tatu.
By the atakua anaamka asubuhi na familia yako kuokota maganda ya maembe na kuyatupa jalalani kisha kuyachoma moto!!
Nilijua huna unachokijua na utatoka mbio liko wapi tusi hapo?jibu ulichotakiwa kujibu acha woga hapa.Kama umeanza matusi it means huitaji kuelewa bali unatafuta ogomvi, so plz stay away!!!!