CCM inaogopa kivuli cha Maalim Seif

CCM inaogopa kivuli cha Maalim Seif

namba inasomeka sasa cjui nani anaisoma vizuri,uliimbwa sana kwenye kampeini baadhi hawakosi kwenda kusalimia white house cjui wamesahau nn.
 
who is JK by the way , huyu hadithi yake imekwisha .
Hilo swali lako Muulize aliehoji JK Kutokwenda kumtazama Seif Sharif. JK nani mpaka ahojiwe kwa kutokwenda kumtembelea Mgonjwa nami ndo nikawahoji mbona wao hawakwenda kumhani ALIPOFIWA.
 
JK ndio nani? mpaka twende kumzika kaka yake? Huku kwetu kuna msiba sijaona hata kwato za JK.
Hilo swali muulizeni Nyumbu mwenzenu aliehoji JK kutokwenda kumtembelea Maalim Seif
 
Hilo swali muulizeni Nyumbu mwenzenu aliehoji JK kutokwenda kumtembelea Maalim Seif
Nakuuliza wewe, fisi wa lumumba, maalim Seif unaweza kumfananisha na kaka ake kikwete kwenye historia ya nchi hii? una jipu la kwenye ubongo si bure.
 
Nakuuliza wewe, fisi wa lumumba, maalim Seif unaweza kumfananisha na kaka ake kikwete kwenye historia ya nchi hii? una jipu la kwenye ubongo si bure.

Kaka yake Kikwete hajawahi kusaliti Juhudi za Mzee Aboud Jumbe Rais wa Pili wa Zanzibar aliekuwa anapigania Mamlaka kamili ya Zanzibar 1983 akachongewa na Maalim Seif kwa Mwl Nyerere akavuliwa Madaraka yake ya Urais na Kikundi cha Wasukuma,Wapate,waha,Wagogo n.k kwny Ukumbi wa Kizota Dodoma na kwa Taarifa yako hoja zote nzuri za SMZ zilizimwa na Seif. Mwendesha mashtaka alikuwa Seif. Nadhan umeelewa tofauti yao
 
Kaka yake Kikwete hajawahi kusaliti Juhudi za Mzee Aboud Jumbe Rais wa Pili wa Zanzibar aliekuwa anapigania Mamlaka kamili ya Zanzibar 1983 akachongewa na Maalim Seif kwa Mwl Nyerere akavuliwa Madaraka yake ya Urais na Kikundi cha Wasukuma,Wapate,waha,Wagogo n.k. Mwendesha mashtaka alikuwa Seif. Nadhan umeelewa tofauti yao
Mi si mkwere sina mpango wa kuelewa majungu wala ngonjera, maana ngonjera ni sawa na hekaya za abunuwasi.
 
Mi si mkwere sina mpango wa kuelewa majungu wala ngonjera, maana ngonjera ni sawa na hekaya za abunuwasi.

Wewe umetaka nilinganishe kati ya Kaka yake Jk na Seif kwny history ya nhi sasa unapewa tofauti unaanza kuita ngonjera!!! Kama Seif angefunga Mdomo wake 1983 kwny Mpambano kati ya Ccm znz na Ccm dodoma basi Muda huu kila mtu angekuwa na ishu zake kati ya Tanganyika na Znz
 
Jk alipofiwa na Kaka yake hatukuziona hata kwato zenu!
Hii komedi ya kuugua na kupumzika hotelini itaisha baada ya uchaguzi kurudiwa , nyie kaeni mnajibaraguza tu , hawa watu wanajua wanachokifanya
 
Jk alipofiwa na Kaka yake hatukuziona hata kwato zenu!
Unanikumbusha zile hadthi za utotoni .....na njomba je....na shangazi je..... na Bwa mkwe je...
Sasa unataka kuyaleta ya kaka na dada, hizo kwato si zitachimbika
 
Back
Top Bottom