Recent content by Kaitamarogo 23

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kukutana na Mauzauza gani ya giza/uchawi katika Nyumba ya Kupanga au ulipohamia nyumba mpya?

    Wale wapuuzi wanaosema haya mambo hayapo achana nao mi nimejenga ila mpaka sasa siishi kwa amani nasikia vitu vinadondoka juu ya bati nikiuliza wananiambia majini ya kichawi
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Kama hauna tako utaumia wenye matako hawasemi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    Tangu uingie mitini wakati unataka kuyashitaki makampuni ya simu ulionekana hovyo kweli nimeshangaa kuona umerudi au kuna chochote ulipewa ukasaliti umma?
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Analyse tupeleke moro tupige vitu nshaona mtu anatapeliwa had anaenda atm anatoa anawakabidhi au ilikuwa ni wewe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Una uhakika au kwa sababu hujakutana nayo
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

    Ukileta nyingine nambie
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Kuna pesa za majini, kafara, wizi, magendo, zari mfano kwenye madini, ufisadi Serikalini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zuru Tanzania

    Uliwahi kuona wapi damu ambayo siyo nyekundu? Nyekundu kuhusishwa na damu au kafara
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CIA,NSA ,KGB,FBI ,SPY ,SECRET SERVICE MOVIE

    Nazipataje
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini

    Utajiri wa kuajiriwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Baadhi ya watu hapo nawajua pengine ni kwel ila hii tz ni jangq sana
Back
Top Bottom