Recent content by kaisar19

  1. kaisar19

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    kweli mkuu hilo nalo ni jambo la msingi.
  2. kaisar19

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa kimuziki wa Fally Ipupa "El Maravilloso". Tangu alipotoa "Maria PM"—wimbo uliokuwa hit kubwa sana barani Afrika na duniani kote—na baadaye kuja na mradi mwingine mkubwa wa "Mayday", kumekuwa na...
  3. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliyopita mtu angekuambia utazungumza na kompyuta kama mtu, ikuelewe Kiswahili, ikuandikie barua na ikusaidie kazi ngumu” usingeweza kumuelew

    Alisha sema mwenyezimungu kwenye Quran. "HAWATA KUWA RADHI MAYAHUDI NA MANASWARA MPAKA MFUATE MILA ZAO"
  4. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies Youtube Mjifunze Production

    Ma-Producers wengi wa bongo Hawana taaluma ya Production wanachokijua wao Ni Majina ya camera bas, Hawana taaluma ya uzalishaji wa filamu ila wana vipaji tu. Sasa ukichanganya na umaskini Kwisha kazi.
  5. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Umekula Mchana.?
  6. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Biashara kariakoo kupangwa upya

    Amekosa hoja Mseng"" uyo
  7. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

    Hii ni kwa upande wa wenzetu Wakristo kwa sisi Waislam naona kwetu hakuna Deal
  8. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

    Yeye alishapanga kwamba utaiba
  9. kaisar19

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga na Ukatwaji wa Umeme Kiholela

    Huko simnachimba Dhahabu kwani Haziwasaidii
  10. kaisar19

    JamiiForums Tanzania UEFA wameona madudu ya infatino ila CAF tumeona tumeona neema kwake

    Fukata hana chaguo
Back
Top Bottom