mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,475
- 5,260
Unafanya mchezo na hiyo kitu nini!!😅Dr. Mariposa mpishi wa pilau la kuni anasemaje kwani?
binti kiziwi hata hahitaji kujibu, atapeleka pwani bila hitilafu yoyote.
Ulivyo na kinyaa lazima utaongezea chembechembe za ugaidi kwenye chakula.Unafanya mchezo na hiyo kitu nini!!😅
Huwa inanifanya nipate mawazo kula haya mayai mengine pia.
Ndivyo inavyotakiwa kugongea mayai pembeni, hata ukiwa unagonga mengi inatakiwa kuwa na vyombo viwili. Shida ni tunakuwaga na haraka haraka na kulizoea jiko.Ulivyo na kinyaa lazima utaongezea chembechembe za ugaidi kwenye chakula.
Kwani hawawezi kugongea mayai kwenye chombo kingine ndio wakamimina kwa chakula?
Ndivyo inavyotakiwa kugongea mayai pembeni, hata ukiwa unagonga mengi inatakiwa kuwa na vyombo viwili. Shida ni tunakuwaga na haraka haraka na kulizoea jiko.
Hivi unajua kupika hata kidogo kweli wewe? ulipika lini mwisho?
😂😂😂 tuma picha !Kunae jiko siku hizi napika balaa.
Picha ya nini sasa, jiko, nikiwa napika au chakula?😂😂😂 tuma picha !
Rudi sema soma hiyo comment nimeongeza ujumbe.Picha ya nini sasa, jiko, nikiwa napika au chakula?
Wivu tayari hapa.😂😂😂 tuma picha !
Halafu ile issue ya jana tuliongea serious.
Namwaga aiseee ,viza linanuka balaa.
Marhaba. Kwa kunipanga hujamboHaha mheshimiwa!
Shikamoo.
Niko mkoani kwako huwezi amini!Marhaba. Kwa kunipanga hujambo
Usifanye hivo. Fika eneo la tukio. Vinginevyo nitatimiza ahadi yangu. Nitakupiga RALU😂😂Niko mkoani kwako huwezi amini!