Recent content by Kahile

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Yaani bongo movie labda ninue ya monalisa hawa wengine eboooiiooo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polisi kuwaua WASHUKIWA wa mauaji ya askari, ni sahihi?

    Dawa ya moto ni moto Gwajima anakwambia pigo moja unapigwa mara mia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke

    Hawa wa kwenye mitandao watakutapel tu ukiwa nazo watakutongoza wenyewe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuna mapenzi ya kweli kwa huyu mwanamke?

    Huyo hakupendi hata robo yaani wanawake ni very janjful hapo ana mtu anayempenda kwa dhati wewe unachunwa mpige chini tafuta mwingine atakukumbukaga mbele ya safari
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matumizi madogo madogo kwa mpenzi wako

    Wengine hawana hata aibu akijua una chochote unashangaa kila sk anakwambia ana shida ili umpe chochote dume suruali kama huna hela usitongoze ukwendreee
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    CCM wakimjua aliyetoa taarifa hii kesho unatekwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipendwa pendeka

    Maana mwanamke akishagundua anajipendekeza kukupenda wewe haumjali siku akifanya maamuzi kutoka ndani moyo utasahau hata ulikutana nae wapi, ujumbe huu umenikuna haswaaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

    Basi Roma alitekwa na selikali
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama. Nipo tayari mniondoe kwenye chama

    Hata akiuwawa tunaweza tukawa na lakukumbuka kwake tofauti na mibunge mibgine minafiki ila ccm mlipotufikisha duuuu Mungu anawaona
  10. K

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Aisee hadi watu tumelia machozi inawezekana wametishwa sana kwahiyo ni ngumu sana yeye kuusema ukweli maana amesema hatuna amani kabisa na usalama wetu nimemuelewa labda ukweli usemwe na wengine ila yeye hawezi Tanzania imegeuka mafia
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Yaani Ccm ni zaidi ya bongo movie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hili hapana

    Bongo bwana wanajua kucheza segere vzr ile ishu wameizima na makontena hatutaisikia tena
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuwatete huku hawa viumbe, Funguka kuhusu Maudhi ya mume

    Na actualy umekuja na baadhi ya solution kazi ya moyo kusukuma damu ukiliweka li mtu moyoni duu ni shida mm wangu nampenda nikiwa nae ila akinitega mgongo mapenzi yameisha hata kama atarudi baada ya miez 6 sitaki shida wakati kuna mambo mengi ya kufanya maana ukayabeba maidhi yao miaka 25...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mashaka juu ya ukamataji wa makontena yenye Range Rovers

    Usanii ulioko Tanzania yaani ni aibu tu yaani mkulu anacheza na akili zettu ila wakati utafika hii kweli ni ya kuzima ishu ya Nape shame on him
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tulimsikitikia mkombozi Amina Chifupa Mungu akatuletea RC wa Dar

    Yaani nikaona anayemshangilia Bashite namshangaa yaani yule kweli hafikirii na sidhani kama anatumia akili
Back
Top Bottom