Kuna mashaka juu ya ukamataji wa makontena yenye Range Rovers

Maendeleo huyaoni ? Flyovers huzioni?
Aongee hizo basi ,kwani sisi tunataka kusikiliza habari .Mimi kama bosi siwezi kukusanya wafanyakazi na kuanza kuongea vitu kama hivyo nitaongelea vitu vyenye tija kama policy zetu procedures etc.Hivyo vya mipasho Ne
 
Hata hivyo vina tija pia.
 
Ndiyo maana siku iliyofuata Magazeti makini yaliipuuzia habari ile, kitendo hicho kilimuuzi sana mzee wa sarakasi na pushups
 
Sasa kama mzigo ulitoka pakistan inawezekana kabisa, inawezekana hayo magari ni geresha tu kulikuwemo mzigo wa ngada, walishindwa wautoeje ndio wakamwita mkuru wakakata nakiri na kumwonyesha mkuu alivyoondoka mzigo ukashushwa na kusepa.
 
Unajua sasa ndugu yangu wenzio wakati wanatunga hii movie hawakuwaza IQ kama hio uliokua nayo...waliwaza IQ zile mkulu alizosema kwamba kule shama wanawaelewa saana

Nakupenda sana Tanzania, yani kwa sasa washamba wanawazidi wa mjini uelewa
 
Usanii ulioko Tanzania yaani ni aibu tu yaani mkulu anacheza na akili zettu ila wakati utafika hii kweli ni ya kuzima ishu ya Nape shame on him
 
Na wengine wanasema ni staged..... yale magari 'yamewekwa' na watu wa usalama ili mzee aue coverage ya wabaya wake.
 
Maendeleo huyaoni ? Flyovers huzioni?
Flyover sio maendeleo, ni KIASHIRIA CHA MAENDELEO.

Yale yanayoitwa uchochezi endapo yatafanyiwa kazi, ardhi zikapimwa vijijini, wafugaji wakafundishwa ufugaji wenye tija na maisha yao yakaboreshwa na mzunguko wa fedha mikoani ukakua, HAYO NDIO MAENDELEO.

Kuwekwa katika jumba kubwa lenye fanicha ambazo zikifubaa huwezi kugharamia polishing yake sio maendeleo.

Ukiwa mpishi, usikazane kupika kinachokufurahisha, WAPIKIE WALAJI KINACHOWAFURAHISHA. Hapo hutakuwa na haja ya kuwashurutisha walaji wakutambue km mpishi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Jf kuna wakati inatumika isivyo
Inatumika kuzibua vyoo? JF ni ya kutolea maoni, na naona watu wanatoa maoni. Kinachosumbua, ni pengine tabaka fulani kutopendezwa na maoni ya tabaka lingine kuhusu jambo au hoja fulani.

Wakati wewe unaona JF inatumika isivyo, kuna ambao wanona madaraka yanatumika isivyo. Shida ya mwanadamu ni ubinafsi. Na ubinafsi haumpi mtu nafasi ya kujitambua na hata kufikiri hatima yake.
 
Mkuu hakuna anae kataza kutoa maoni ila ukiangalia kuna vitu vinaandikwa tofauti na lazima tukumbushane wajibu wetu
 
Back
Top Bottom