Katika kufanya utafiti wangu wa kimchongo leo nimeona niongee huu upuzi niliohuona huku ni takribani mwa wa tatu sasa najaribu kuomba nafasi ya kusoma vyuo vya kati vya kilimo vinavyomilikiwa na serikali yaani MATI
Nimejaribu kuomba pia vyuo vya mifugo vinavyomilikiwa na serikali chini ya wakala...
Mim siwezi paparikia mwanamke hata awe boss vip amepewa nyusi anazikata ana jichora na penseli kuna ndugu yako huku hakihitwa tu anakimbia yaani utadhani anawahai msiba same milimani [emoji3]
Dar- Moro nimeenda mara kibao changamoto ipo maeneo ya uzomozi zone kuna baridi na upepo.
Mwaka jana nimesafiri na pikipiki ya Sanlg choka mbaya toka maeneo ya Usevya nikapita kwenye mbuga ya katavi nikahunga strike,mpanda ,uvinza,kasulu huko kote skikutana na check point wala polisi nilipo fika...
Tekiketi namba x003 nenda dirisha namba tatu ukienda sasa umkuti mtu wapo busy na smartphone kiukweli na matawi yao yote wapo hovyo hopless kabisa wanachojua kujaza watoto wao na ndugu zao.
Eyewitness sio kuambiwa
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike pitia hapo chini
Isiombe ukakutana na watu wa Karagwe,kykerwa,Muleba wengi wao utajiri na elimu zao wanazipata kutumia uchawi in short uwezi jua mpaka uwe na jicho la tatu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.