kahara
Member
- Nov 14, 2016
- 94
- 93
Katika kufanya utafiti wangu wa kimchongo leo nimeona niongee huu upuzi niliohuona huku ni takribani mwa wa tatu sasa najaribu kuomba nafasi ya kusoma vyuo vya kati vya kilimo vinavyomilikiwa na serikali yaani MATI
Nimejaribu kuomba pia vyuo vya mifugo vinavyomilikiwa na serikali chini ya wakala LITA.
Chakushangaza ni kwamba sifa za kujiunga na vyuo hivi ni zile zile ila kupata nafasi huku kilimo ni shida sana ni kama hawana muda mambo yao mengi ni kusukuma tofauti na LITA
Maelezo na mambo yao ni shida tofauti na LITA hata ukienda kwenye tovuti zao zipo tofauti kabisa wakiweka tangazo halikai hat siku saba yaani utafikiri wanalazimishwa ama hawataki umma ujue.
Wenzao wapo active sana mwaka huu wamekuja na mfumo wa kuomba moja kwa moja saris sijuh Kama umma uliona lile tangazo.
Siku duku langu ni kwanini nikiomba kwenye vyuo vyao sipati nafasi wakati nikiomba Lita napata ila interest yangu na majukumu yangu mengi yamehegemea kwao na sifa ni zilezile za kujiunga na vyuo husika.
Natoa rai kwa wahusika wakajifunza kwa wenzao wa mifugo kila kitu kinachijieza kule customer care nzuri kabisa