ni kweli unachokisema,lakini kahama kumekuwa na matatizo mengi sana kuhusu hapo hospitalini kwenu...malalamiko ya wagonjwa yamezidi...kama vile mama wajawazito mnasema mnawapa dawa za bure..wakati wanapofika hapo wananunua kila kitu!.
.damu wanananua....sylinge wanananua...dawa zinginezo za...
Duh!huyu mzee ni mpiga dili kwelikweli,na anajue mipango ya dili.Ameona kwa Lowassa zimekata,sasa amehamishia kambi kwa Kishimba.
Tumeshamjua,hivyo nadhani huyu jamaa siasa hawezi bora angeenda kwao tu akalime kwani Mgeja amekuwa tatizo ndani ya CCM na maendeleo ya Kahama kwa ujumla.
Hospitali ya Manispaa Kahama inalalamikiwa na wakazi wa mji huo kwa kukosa Dawa.Mmoja wa wazee anasema,"nashangwazwa na hii hospitali,nimempeleka ndugu yangu kutibiwa baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya phantom,lakini tulipomfikisha hospitali,wauguzi walikuwa wanamtizama tu! Nilipowahoji...
Baadhi ya vihelehele wa CHADEMA waliogeuza chama kuwa mali yao wamekuwa wakisikika mtaani wakiropoka hovyo bila tija ya kwamba,"hawawezi kumpa ruksa Lembeli kugombea jimbo la Kahama Mjini kwa tiketi ya CHADEMA eti kwa sababu hakupigania chama.
Hivyo tunashauri chama uongozi wa juu waje Kahama...
Mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi leo mida ya saa nne asubuhi amepita kahama kujitamburisha kwa wanachama wa chama cha mapinduzi,na wale siyo wanachama na kuwaeleza kwamba,endapo kama atapata ridhaa ya wananchi kuliongoza taifa hili,amesema atahakikisha analeta maendeleo kwenye taifa...
Mpaka sasa hivi siasa ya tanzania inanichanganya sana,watanzania tumegawanyika kiuchama na kwa mbali nauona ukanda na ukabila.Nimejaribu kufanya tafiti kwenye mikutano ya siasa na kugundua kwamba,ikiwa ccm wataweka kiongozi mzuri,Wanachedema watasema hapana huyo....hatufai hata kidogo maana ni...
Mfanya biashara maarufu nchini Tanzania na nje ya nchi..Mzee kishimba,ameamua kurudi nyumbani kwao kahama kuwania ubunge jimbo la kahama mjini,ambalo liko ndani ya Manispaa ya kahama.Kishimba anasifika kwa umahiri mkubwa wa kufanya biashara ndani na nje ya nchi..jambo ambalo limewasitua...
Leo kutakuwa na mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo manispaa ya Kahama.
Tundu Lissu atanatarajia kuhutubia wananchi pamoja na kuwasimika rasmi baadhi ya walio kuwa makada wa CCM ili kujiunga na jeshi la ukombozi.
Wanachama hao wapya wanaongozwa na Mh.James Lembeli( mwanamalia)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.