Wachumia tumbo wa CHADEMA Kahama hawamtaki Lembeli

Jul 20, 2015
15
15
Baadhi ya vihelehele wa CHADEMA waliogeuza chama kuwa mali yao wamekuwa wakisikika mtaani wakiropoka hovyo bila tija ya kwamba,"hawawezi kumpa ruksa Lembeli kugombea jimbo la Kahama Mjini kwa tiketi ya CHADEMA eti kwa sababu hakupigania chama.

Hivyo tunashauri chama uongozi wa juu waje Kahama ama watume watu kufuatilia suala hili.

Kuna watu wanasema eti wamemwaga fedha zao hapa.
 
Kumsimamisha Lembeli kugombea not fair at all kwa watu waliodedicate their life kuijenga cdm hapo,lembeli ni mtu mpya hajaijua chadema na hajajitolea chochote kuijenga,italeta mpasuko!

Utakigharimu chama ubunge
 
Hiyo taarifa kama ni kweli basi hawo wanajifanya upuuzi huo wajue hawakisaidi chama na wanaleta ubinafsi usiyokuwa na maslahi kwa chama na taifa.
 
Ila kweli, mana watu wanakijenga chama, wanapoteza mda wao, wanatumia fedha zao afu nyie CCM mkiona mambo magumu kwenu mnaibukia chadema,
 
Ya kweli sio fair lakini muhim ni kuoangeza idadi ya wabunge, kama lembeli atapita basi apewe, lakini kama kuna mwana cdm kahama anaweza upata apewe yeye nafasi ya kwanza na lembeli ajenge chama...
 
Ila kweli, mana watu wanakijenga chama, wanapoteza mda wao, wanatumia fedha zao afu nyie CCM mkiona mambo magumu kwenu mnaibukia chadema,

Hao unaosema wamekipigania chama je wanauwezo wa kuishinda CCM kama wakipewa nafasi ya kugombea?
 
Yani watu wajenge chama.lembeli akimbie ccm kwa tamaa zake za madaraka aje apewe uongozi.msikubali wana kahama.
Lembeli kama Lembeli anaweza kuisaidia CDM na UKAWA kuongeza idadi ya Wabunge na kuhamasishajuu ya kura za Urais kwani ameondoka CCM akiwa msafi kwa hiyo kwa kipindi hiki Lembeli ni muhimu sana kuliko hao wanaolalamika kwa sasa.
 
mleta uzi unaonekana wewe ndo mwenye huo ubinafsi chama hakina huo upuuzi tulimpa shibuda na bado alikua akifanya fujo zake atimuliwe lakini tulimkaushia hadi kajiengua mwenyewe na wewe kama vip jikatae tena naona umeingia humu ndani May 20 juzi tu baada ya kufukuzwa Facebook
 
James Lembeli ni mtaji kahama, mwenye uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu ndani ya upinzani dhidi ya mgombea awaye yeyote wa CCM. CHADEMA KAHAMA waheshimiwe lakini bila lembeli kugombea jimbo la kahama mjini kwa tiketi ya CHADEMA , Jimbo litaenda CCM.
 
Chama hakisimamishi mgombea kwa lengo La kushiriki Bali kushinda.
Kama kwa kumsimamisha Lembeni watashinda basi huyo ndio anafaa
 
Jimbo kama la Kahama ambalo liko mikononi mwa CCM apewe kipau mbele yule ambaye ana weza akaliondoa CCM na kulileta CHADEMA.
 
Back
Top Bottom